KANSA YAMTESA BABA DIAMOND
Gladness mallya na erick evaristINASIKITISHA! Wakati mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiendelea vizuri baada ya matibabu nchini India, naye baba wa jamaa huyo, Abdul Jumaa ‘Baba D’ anateswa na kansa ya ngozi huku mwanaye huyo akiwa hana habari naye. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1fRE3iI ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Aug
Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!
Guys kuna mambo mengi sana feki yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii. Tena zaidi ni kuwa mengi yanakuja na picha zinazoashiria ukweli lakini katika maisha ya chuki na visasi, kila kitu kinawezekana. Mtoto wa Diamond, Tiffah Bahati mbaya tunaishi kwenye dunia ambayo watu huamini haraka mambo hasi ambayo kwa kawaida husambaa haraka zaidi kuliko yale chanya. […]
10 years ago
GPLBABA DIAMOND AMSAKA WEMA
Stori: Musa Mateja na Gladness Mallya Baada ya Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’ kummwaga mwanaye, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, baba mzazi wa jamaa huyo, Abdul Jumaa ‘Baba Diamond’, amenaswa akimsaka mrembo huyo ili kujua mbichi na mbivu. Baba mzazi wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’akigonga getini kwa Wema. ‘UBUYU’ KUTOKA KWA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo...
10 years ago
GPLBABA DIAMOND AMFAGILIA ZARI
Kukubali! Baba mzazi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ‘Baba D’ amefunguka kuwa, kwenye listi ya wanawake wote waliowahi kuwa na mwanaye kimalovee, mwanadada Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ndiye mkwe wa ukweli kwake kutokana na kuwa tayari kumletea mjukuu. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah...
9 years ago
GPLBABA DIAMOND AKATALIWA KUMUONA TIFFAH
Gladness Mallya MSHTUKO! Baada ya hivi karibuni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kupata mtoto wa kike, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, baba mzazi wa mwanamuziki huyo, Abdul Jumaa ‘Baba D’ amekataliwa kumuona mjukuu wake huyo, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. ....Soma...
10 years ago
GPLMAPENZI: WEMA NA BABA, DIAMOND NA MAMA
Stori: Hamida Hassan
Tofauti na mastaa wengine ambao huandika majina ya wapenzi wao kwenye miili yao kuonesha jinsi wanalivyo na mapenzi nao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu wamekuwa tofauti, Ijumaa limegundua. Tattoo ya Diamond Platinum ikionekana kwenye mkono wake wa kushoto. Mastaa hawa wameonyesha kuwa na mapenzi na wazazi wao ambapo mwandishi wetu amebaini Diamond ameandika jina la mama yake mkononi...
10 years ago
GPLBABA, MAMA DIAMOND HOI KITANDANI
Na Waandishi wetu/Risasi
HALI ni tete! Wazazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim na Abdul Juma wako hoi vitandani wakikabiliwa na maradhi mbalimbali, Risasi Jumamosi lina taarifa kamili. Mama wa mbongofleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim akiuguza ugonjwa, MAMA DIAMOND
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, mama Diamond hajiwezi kwa mwezi mmoja sasa akisumbuliwa na...
11 years ago
GPLBABA: DIAMOND SIYO RIZIKI YANGU
Stori: Gladness Mallya BABA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa amefunguka kuwa mwanaye huyo siyo riziki yake kwani hana dalili zozote za kumjali kama mzazi. Nasibu Abdul ‘Diamond’. Akistorisha na gazeti hili, mzee huyo alisema kwa sasa hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu alishamtumia ujumbe kwamba anatakiwa kubaki kama baba tu na si vinginevyo.… ...
10 years ago
GPLDIAMOND ASAKWA MAZISHI YA BABA WA BABU TALE
Dustan Shekidele, Morogoro
BABA mzazi wa Meneja wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amezikwa juzi Jumanne kijijini kwao Mkuyuni, mjini Morogoro lakini miongoni mwa mambo ya kushangaza ni kitendo cha baadhi ya waombolezaji kumsaka mwanamuziki Nasibu bila mafanikio. Staa wa Bongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’. Hilo lilijitokeza baada ya msafara uliotokea Dar kufika eneo hilo ambapo vijana walilizingira...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania