MASTAA WAKATA MAUNO MBELE YA JK
![](http://api.ning.com:80/files/ge9WkNua4TrIj1XiuyTi-iv6DWHXHXZPe0B*lBsmG5H*MSdeEdTRBvMaMXfJk*IQ6vci1GyBXc1nRGB9k6vPsqtozGTAcb9H/Mastaa.jpg)
Mwandishi wetu Acha kabisa! Baadhi ya mastaa wa sinema na muziki Bongo, wamejiachia na kujikuta wakikata mauno mbele ya Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi aliyeambatana na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro hali iliyozua minong’ono kwa waalikwa. soma zaidi===>http://goo.gl/REn7EC
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Nov
Alikiba atumbuiza mbele ya mastaa wa Marekani wakiwemo Maggie Q na Fergie kwenye hafla ya WildAid, LA
![11296896_513436305489308_1449570678_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11296896_513436305489308_1449570678_n-300x194.jpg)
Shirika la WildAid wikiendi iliyopita lilifanya hafla ya kwanza ya ukusanyaji wa fedha huko Los Angeles nchini Marekani na kufanikiwa kukusanya dola milioni 2.5.
Alikiba akiwa na muimbaji wa zamani wa kundi la The Black Eyed Peas, Fergie
Katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Montage Beverly Hill, kupewa jina ‘An Evening in Africa’ na kuhudhuriwa na mastaa kibao wa Hollywood, Alikiba alitumbuiza.
Alikiba akiwa na muigizaji wa series ya Nikita, Maggie Q
Mastaa waliohudhuria ni pamoja na...
11 years ago
Habarileo31 Jul
Wakata mapanga ng’ombe, wachoma mtumbwi
WANANCHI katika Kijiji cha Mugara, Kata ya Iramba wilayani hapa wamewakatakata kwa mapanga ng’ombe wawili wa wavuvi waliodaiwa kufanya uvuvi haramu na kuteketeza kwa moto mtumbwi wao.
10 years ago
Habarileo06 Mar
Wanajeshi waliohukumiwa kifo wakata rufaa
WANAJESHI wawili waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Swetu Fundikira ambaye ni mtoto wa ndugu wa marehemu Chifu Abdallah Fundikira, wamekata rufaa kupinga adhabu hiyo.
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Mawakili wakata rufaa kesi ya bilionea Msuya
NA SAFINA SARWATT, MOSHI.
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imeahirisha kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya, baada ya upande wa utetezi kukata rufaa kutokana na kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa wa kutupilia mbali ombi lao la kutopokewa kwa maelezo ya mshtakiwa wa tatu.
Upande wa utetezi unaongozwa na jopo la mawakili wanne ambao ni Hudson Ndusyepo anayemwakilisha mshtakiwa wa kwanza, Majura Magafi anayewawakilisha mshtakiwa wa pili na tano, Emmanuel Safari anayemwakilisha...
11 years ago
GPLUCHONGAJI WA BARABARA WAKATA MABOMBA YA MAJI KIJITONYAMA
5 years ago
Bongo514 Feb
Juventus na Monaco mbele kwa mbele UEFA, Barca na Dortmund nje
Timu za Juventus na Monaco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya (Uefa) usiku wa Jumatano huku zikiungana na Real Madrid na Atletico Madrid ambazo zilifuzu katika hatua hiyo siku ya Jumanne.
Juventus imefanikiwa kuingia katika hatua hiyo kwa kuitoa Barcelona ya Hispania kwa jumla ya mabao 3-0 ambayo walishinda katika mchezo wao wa kwanza wiki iliyopita huku katika mchezo wa jana wakitoka sare ya 0-0.
Nao Monaco wametinga hatua hiyo kwa...
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!
Kikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz
Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.
Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/xEsE-6NdbF0/default.jpg)