Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanajeshi waliohukumiwa kifo wakata rufaa

WANAJESHI wawili waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Swetu Fundikira ambaye ni mtoto wa ndugu wa marehemu Chifu Abdallah Fundikira, wamekata rufaa kupinga adhabu hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Mawakili wakata rufaa kesi ya bilionea Msuya

NA SAFINA SARWATT, MOSHI.

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imeahirisha kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya, baada ya upande wa utetezi kukata rufaa kutokana na kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa wa kutupilia mbali ombi lao la kutopokewa kwa maelezo ya mshtakiwa wa tatu.

Upande wa utetezi unaongozwa na jopo la mawakili wanne ambao ni Hudson Ndusyepo anayemwakilisha mshtakiwa wa kwanza, Majura Magafi anayewawakilisha mshtakiwa wa pili na tano, Emmanuel Safari anayemwakilisha...

 

10 years ago

Vijimambo

VIJANA WAKATA RUFAA MECHI KURUDIWA JUMAPILI MEADOWBROOK

 Timu ya Wazee Timu ya Vijana
Timu ya Vijana hatimae rufaa yake imekubaliwa na mechi yao na Wazee DMV kurudiwa siku ay Jumapili July 19, 2015 katika uwanja wa Meadowbrook Park.

Mechi inatarajiwa kuwa kali na inatarajiwa kuanza saa 11:45 jioni(5:45pm). Mechi iliyopita Vijana japo walitanguliakufunga magali lakini baadae kuzidiwa  na kujikuta kufungwa magali 5-3 na timu ya Wazee iliyotumia uzoefu wao kuonyesha makali yao.

Mechi inatarajiwa kuwa kali na ya kulipiza kisassi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Nigeria wahukumiwa kifo

Mhakama moja ya kijeshi nchini Nigeria imewahukumu kifo askari 54 kwa kukataa kupigana na kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram.

 

5 years ago

CHADEMA Blog

Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko

Mahakama ya Rufani leo imeketi kusikiliza hoja za wakata rufaa (Jamhuri) na wakatiwa rufaa (utetezi) kwenye maombi ya rufaa namba 344  yaliyopo Mahakama Kuu kuhusu kufutiwa dhamana kwa washtakiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Mb) na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko. Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Rufaa kuamuru maombi hayo 344 yatupiliwe mbali na Mahakama Kuu kwa sababu

 

9 years ago

GPL

MASTAA WAKATA MAUNO MBELE YA JK

Mwandishi wetu Acha kabisa! Baadhi ya mastaa wa sinema na muziki Bongo, wamejiachia na kujikuta wakikata mauno mbele ya Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi aliyeambatana na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro hali iliyozua minong’ono kwa waalikwa. soma zaidi===>http://goo.gl/REn7EC

 

11 years ago

Habarileo

Wakata mapanga ng’ombe, wachoma mtumbwi

WANANCHI katika Kijiji cha Mugara, Kata ya Iramba wilayani hapa wamewakatakata kwa mapanga ng’ombe wawili wa wavuvi waliodaiwa kufanya uvuvi haramu na kuteketeza kwa moto mtumbwi wao.

 

11 years ago

GPL

UCHONGAJI WA BARABARA WAKATA MABOMBA YA MAJI KIJITONYAMA

    Mkazi wa Kijitonyama akishuhudia tingatinga likiyakata mabomba yao.
    Tingatinga likiendelea na uchongaji wa barabara huku mkazi mmojawapo akiwa na vyombo vya kutekea maji.
    Mpira wa bomba mojawapo ukitiririsha maji.…

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA SC HAWAJANG’OA VITI TENA TAIFA LEO ?, BAADA YA KUPIGWA BAO 1 BILA MAJIBU NA WAKATA MIWA WA KAGERA

KIPINDI CHA PILI KIMEISHA, SIMBA WAMESHAMBULIA SANA, LAKINI WAMESHINDWA KUPATA BAO LA KUSAWAZISHA. HIVYO SIMBA IMEPOTEZA MCHEZO WAKE WA KWANZA WA LIGI KWA BAO 1-0.
Licha ya Simba kusajili wachezaji nyota kutoka Uganda, Kagera Sugar FC wamelitamba kuivuruga tena kwa kuipa kichapo katika mechi yao leo na wamefanya hivyo kweli. Simba wanafanya kila wawezavyo kuwafunga watani wao wa jadi lakini wanvyo kutana na timu zingine ni nyanya tena hile ya masalo pale tandale jalalani.Mrage Kabange, kocha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani