Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WAKATA RUFAA MECHI KURUDIWA JUMAPILI MEADOWBROOK

 Timu ya Wazee Timu ya Vijana
Timu ya Vijana hatimae rufaa yake imekubaliwa na mechi yao na Wazee DMV kurudiwa siku ay Jumapili July 19, 2015 katika uwanja wa Meadowbrook Park.

Mechi inatarajiwa kuwa kali na inatarajiwa kuanza saa 11:45 jioni(5:45pm). Mechi iliyopita Vijana japo walitanguliakufunga magali lakini baadae kuzidiwa  na kujikuta kufungwa magali 5-3 na timu ya Wazee iliyotumia uzoefu wao kuonyesha makali yao.

Mechi inatarajiwa kuwa kali na ya kulipiza kisassi.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NYAMA CHOMA NA MECHI YA VIJANA NA WAZEE DMV MAY 23 MEADOWBROOK PARK

 Timu ya Wazee Timu ya VijanaDave akimteza kipa wa Wazee Said Mwamende
Siku ya Jumamosi May 23, 2015 kutafanyika mechi kati ya wazee na vijana itakayokwenda sambamba na nyama choma katika viwanja vya Meadowbrook Park 7901 Meadowbrook Lane Chevy Chase, MD 20815.

Kwa wachezaji timu ya Wazee tafadhali wasiliana na nahodha wa timu Mude 202 644 1829
na kwa timu ya Vijana wasiliana na Yusuf 202 710 9019

 

10 years ago

Habarileo

Wanajeshi waliohukumiwa kifo wakata rufaa

WANAJESHI wawili waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Swetu Fundikira ambaye ni mtoto wa ndugu wa marehemu Chifu Abdallah Fundikira, wamekata rufaa kupinga adhabu hiyo.

 

9 years ago

Mtanzania

Mawakili wakata rufaa kesi ya bilionea Msuya

NA SAFINA SARWATT, MOSHI.

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi imeahirisha kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya, baada ya upande wa utetezi kukata rufaa kutokana na kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa wa kutupilia mbali ombi lao la kutopokewa kwa maelezo ya mshtakiwa wa tatu.

Upande wa utetezi unaongozwa na jopo la mawakili wanne ambao ni Hudson Ndusyepo anayemwakilisha mshtakiwa wa kwanza, Majura Magafi anayewawakilisha mshtakiwa wa pili na tano, Emmanuel Safari anayemwakilisha...

 

11 years ago

GPL

MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND LEO JUMAPILI DESEMBA 29, 2013

10:30   EVERTON                           V               SOUTHAMPTON 10:30   NEWCASTLE UNITED        V               ARSENAL   1:00  ...

 

11 years ago

Michuzi

WAPINZANI WA AZAM FC WATUA DAR KAMILI JIONI HII TAYARI KWA MECHI JUMAPILI

Na Bin Zubeiry Ferroviario wakiwa mbele ya basi la Azam FC liliwapokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Azam inacheza kwa mara ya pili mwaka huu michuano hiyo ya Shirikisho, baada ya mwaka jana kutolewa hatua ya 16 Bora na AS FAR Rabat ya Morocco, ikiwa chini ya kocha Muingereza, Stewart John Hall, aliyejiuzulu Novemba mwaka jana na nafasi yake kuchukuliwa na Mcameroon, Joseph Marius Omog.   Azam imekuwa kambini katika hosteli zake za kisasa zilizopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani