MWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR
Umati wa watu ukiwa unashangaa kitendo cha mwanadada (kushoto mwenye kitambaa cha zambarau kichwani) aliyemkwapulia 20,000 mwenzake. Wengine wakitaka apigwe kama mwizi, wengine wakiomba asamehewe.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MWANAMKE ‘BONDIA’ AMCHAKAZA MWENZAKE!
9 years ago
Bongo504 Jan
Binti wa Askofu Desmond Tutu afunga ndoa na mwanamke mwenzake

Canon Mpho Tutu‚ mtoto wa Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini amefunga ndoa na mwanamke mwenzake, Professor Marceline Furth kwenye sherehe ndogo iliyofanyika Alhamis iliyopita nchini Uholanzi.
Canon Tutu ni Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Desmond & Leah Tutu Legacy Foundation. Professor van Furth ni mhadhiri wa Paediatric Infectious Diseases kwenye chuo kikuu cha Vrije cha jijini Amsterdam.
Hiyo ndio ya pili kwa wote wawili. Ndoa yao itasherehekewa mjini ted in Cape Town May 2016.
Jiunge...
11 years ago
GPLTUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI
11 years ago
GPL
DIDA AZUA TIMBWILI BAADA YA KUNG'ANG'ANIWA NA MWANAMKE MWENZAKE
5 years ago
MichuziJAMBO YAMCHANGIA SHILINGI 500,000/= KUONGEZA MTAJI MWANAMKE SHUJAA MWENYE ULEMAVU
Kampuni ya Utengenezaji na Usambazaji wa Vinywaji baridi ‘Jambo Food Products Limited’ ya mkoani Shinyanga imemsaidia mtaji wa shilingi 500,000/= Mwanamke mwenye ulemavu Happiness Kwigema anayejishughulisha na biashara ya pipi na sabuni za kufulia Mjini Shinyanga.
Fedha hizo Taslimu zimekabidhiwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) kwenye Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambayo katika mkoa wa Shinyanga yaliyofanyika katika kijiji cha Iselamagazi kata...
10 years ago
GPL
MWANAMKE DAR AJIFUNGUA CHATU!
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Mwanamke kinara wa ujambazi mbaroni Dar
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata mtandao hatari wa majambazi kumi, mmoja akiwa ni mwanamke anayeshiriki kikamilifu wakati wa matukio ya ujambazi. Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Mwanamke Dar kortini kwa heroini