Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE ‘BONDIA’ AMCHAKAZA MWENZAKE!

Na Mwandishi Wetu, Mara
Ooh…Nooo! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Tatu Wambura amefananishwa na bondia baada kumshushia kichapo kikali mwenzake, Catherine Benedicto, mkazi wa Kijiji cha Buhundwe, wilayani Rorya, mkoani hapa kwa kosa la kupitisha ng’ombe kwenye shamba lake. Catherine Benedicto, aliyejeluhiwa na Tatu wambula kwa makonde mazito. Imeelezwa kuwa, tukio hilo lilitokea Jumatano iliyopita majira ya saa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR

Umati wa watu ukiwa unashangaa kitendo cha mwanadada (kushoto mwenye kitambaa cha zambarau kichwani) aliyemkwapulia 20,000 mwenzake.  Wengine wakitaka apigwe kama mwizi, wengine wakiomba asamehewe.…

 

9 years ago

Bongo5

Binti wa Askofu Desmond Tutu afunga ndoa na mwanamke mwenzake

Mpho+Tutu

Canon Mpho Tutu‚ mtoto wa Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini amefunga ndoa na mwanamke mwenzake, Professor Marceline Furth kwenye sherehe ndogo iliyofanyika Alhamis iliyopita nchini Uholanzi.

page (1)

Canon Tutu ni Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Desmond & Leah Tutu Legacy Foundation. Professor van Furth ni mhadhiri wa Paediatric Infectious Diseases kwenye chuo kikuu cha Vrije cha jijini Amsterdam.

Hiyo ndio ya pili kwa wote wawili. Ndoa yao itasherehekewa mjini ted in Cape Town May 2016.

Jiunge...

 

11 years ago

GPL

DIDA AZUA TIMBWILI BAADA YA KUNG'ANG'ANIWA NA MWANAMKE MWENZAKE

Stori: Richard Bukos DUNIA ina mambo! Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ amezua timbwili baada ya kung’ang’aniwa na mwanamke mwenzake aliyedaiwa kutaka kumshawishi afanye naye mapenzi ya jinsi moja (usagaji). Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ Dida alikumbwa na ishu hiyo, Alhamisi ya wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar, wakati...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA MOHAMED MATUMLA AMTANDIKA KWA POINT BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA

Mwamuzi wa Mpambano wa Masumbwi uliowakutanisha mabondia Mohamed Matumla (Tanzania) na Wang Xin Hua (China) katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam usiku huu,akiwa amemnyanyua mkono Bondia Mohamed Matumla baada ya kumchapa kwa Point bondia mwenzake kutoka nchini China katika mpambano wa raundi 10 wa kuwania nafasi ya kucheza katika pambano la utangulizi kwenye mpambano mkali na unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa masumbwi Duniani kati ya mabondia Floyd Mayweather, Jr. na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mdee amchakaza Magufuli

MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), Halima Mdee, amebomoa ngome ya mbunge wa Chato, Dk. John Magufuli kwa kuzoa wanachama zaidi ya 300 wa...

 

11 years ago

GPL

KASEBA AMCHAKAZA ALIBABA KWA K.O RAUNDI YA 4

Bondia Japhet Kaseba (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Alibaba Ramadhani wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa uliofanyika Manzese Dar es Salaam. Kaseba alishinda kwa K.O ya raundi ya nne ya mpambano huo.
Kanda Kabongo akimhudumia bondia Japhet Kaseba.…

 

11 years ago

Michuzi

MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE,JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA

Bondia Juma Biglee (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Bondia Jack Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema Inn Chalinze mjini,mkoani Pwani.Biglee alishinda kwa point. Mabondia hao wakitupiana makonde mazito mazito. Bondia Juma Biglee akinyooshwa mkono juu baada ya kumshinda Jack Simela wa Chalinze. Bondia Mwaite Juma (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na  Bondia Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao...

 

11 years ago

GPL

TUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI

Mgeni rasmi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akihutubia kabla ya kukabidhi tuzo. Na Luqman Maloto Mwanamke wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani