Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KASEBA AMCHAKAZA ALIBABA KWA K.O RAUNDI YA 4

Bondia Japhet Kaseba (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Alibaba Ramadhani wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa uliofanyika Manzese Dar es Salaam. Kaseba alishinda kwa K.O ya raundi ya nne ya mpambano huo.
Kanda Kabongo akimhudumia bondia Japhet Kaseba.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kaseba amkalisha Alibaba kwa ‘KO’

BONDIA Japhet Kaseba, juzi alifanikiwa kutetea mkanda wa ubingwa wa taifa baada ya kumchapa bingwa wa Kanda ya Kaskazini, Alibaba Ramadhan kwa ‘KO’, raundi ya nne. Kaseba alianza mchezo huo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kaseba, Alibaba kumaliza ubishi leo

MABONDIA Japheth Kaseba wa Dar es Salaam na Alibaba Ramadhani wa Arusha, leo jioni watapanda ulingoni katika ukumbi wa Friends Corner, kumaliza ubishi wa nani zaidi baina yao kwa kusukuma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kaseba, Alibaba kupima uzito leo

MABONDIA Japheth Kaseba wa jijini Dar es Salaam na Alibaba Ramadhani wa Arusha, leo majira ya saa 4 asubuhi watapima afya na uzito katika Ukumbi wa Hoteli ya Friends Corner...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Alibaba amkalisha Mbunda kwa KO

BONDIA Alibaba Ramadhani wa mkoani Kilimanjaro, ameendelea kuupa sifa mkoa huo katika medani ya ngumi, baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa taifa, uzito wa kati kilo 76, baada ya kumpiga...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA FADHILI MAJIHA AONESHA MAAJABU KWA KUPIGWA KWA POINT THAILAND MCHEZO WA RAUNDI 12

Bondia Pungluang Sor Singyu wa Thailand kushoto akipambana na Fadhili Majiha wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Dunia WBO Asia Pacific bantamweight title uliofanyika katika uwanja wa shule ya Amphawa iliyopo Bangkok, Thailand Majiha alipigwa kwa pointBondia Fadhili Majiha wa Tanzania kushoto akipambana na Pungluang Sor Singyu wa Thailand wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Dunia WBO Asia Pacific bantamweight title uliofanyika katika uwanja wa shule...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA MAOKOLA AMDUNDA MKALAKALA KWA K,O YA RAUNDI YA 7 NA KUTETEA MKANDA WAKE

Mabondia Anthony Peter kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamidu Mussa wakati wa mpambano wao.  Mussa alishinda kwa point mpambano huo  Mabondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Selemani Mkalakala wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa unaotambuliwa na chama cha TPBC Maokola alishinda kwa k,o ya raundi ya saba  Bondia Selemani Mkalakala akiwa chini kwa konde zito alilotupiwa na Ibrahimu Maokola wakati wa mpasmbano wao wa ubingwa IBRAHIMU...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE

Bondia Francis Cheka kulia akipambana na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Bondia Francis Cheka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Bondia Shabani Kaoneka kulia akimtupia konde la nguvu Zumba kukwe wakati wa mpambano wao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani