Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONDIA FADHILI MAJIHA AONESHA MAAJABU KWA KUPIGWA KWA POINT THAILAND MCHEZO WA RAUNDI 12

Bondia Pungluang Sor Singyu wa Thailand kushoto akipambana na Fadhili Majiha wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Dunia WBO Asia Pacific bantamweight title uliofanyika katika uwanja wa shule ya Amphawa iliyopo Bangkok, Thailand Majiha alipigwa kwa pointBondia Fadhili Majiha wa Tanzania kushoto akipambana na Pungluang Sor Singyu wa Thailand wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Dunia WBO Asia Pacific bantamweight title uliofanyika katika uwanja wa shule...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BONDIA MTANZANIA FADHILI MAJIHA KUMSINDIKIZA MANNY PAQUAIO NOVEMBA 22 MACAO CHINA

Na Mwandishi WetuBONDIA Fadhili majiha kwa mara ya kwanza ataiwakilisha nchi ya tanzania akicheza katika mpambano wa utangulizi wa bondia mkubwa duniani Manny Paquaio na Chris Algieri mpambano utakaofanyika 

Cotai Arena, Venetian Resort, Macao, Macao S.A.R., China mpambano ambao bonia mtanzania Fadhili Majiha atavaana na Jerwin Ancajas kutoka Philippines mpambano utakaokuwa wa raundi 8 
mchezo uliopowa hadhi ya nyota mbili ambapo watanzania wote wanapaswa kumuombea duwa bondia nambari moja kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA MOHAMED MATUMLA AMTANDIKA KWA POINT BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA

Mwamuzi wa Mpambano wa Masumbwi uliowakutanisha mabondia Mohamed Matumla (Tanzania) na Wang Xin Hua (China) katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam usiku huu,akiwa amemnyanyua mkono Bondia Mohamed Matumla baada ya kumchapa kwa Point bondia mwenzake kutoka nchini China katika mpambano wa raundi 10 wa kuwania nafasi ya kucheza katika pambano la utangulizi kwenye mpambano mkali na unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa masumbwi Duniani kati ya mabondia Floyd Mayweather, Jr. na...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE

Bondia Francis Cheka kulia akipambana na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Bondia Francis Cheka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Bondia Shabani Kaoneka kulia akimtupia konde la nguvu Zumba kukwe wakati wa mpambano wao...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA MAOKOLA AMDUNDA MKALAKALA KWA K,O YA RAUNDI YA 7 NA KUTETEA MKANDA WAKE

Mabondia Anthony Peter kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamidu Mussa wakati wa mpambano wao.  Mussa alishinda kwa point mpambano huo  Mabondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Selemani Mkalakala wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa unaotambuliwa na chama cha TPBC Maokola alishinda kwa k,o ya raundi ya saba  Bondia Selemani Mkalakala akiwa chini kwa konde zito alilotupiwa na Ibrahimu Maokola wakati wa mpasmbano wao wa ubingwa IBRAHIMU...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA SAIDI MBELWA APIGA GEORGE DIMOSO KWA POINT

Bondia Georger Dimoso kushoto akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamoso iliyopita Mbelwa alishinda kwa point mpambano huo wa raundi nane Bondia Said Mbelwa kushoto akioneshana umwamba na Geore Dimoso wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi jana Mbelwa alishinda kwa point Mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakifatilia kwa makini mchezo huoBondia Said Mbelwa akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wa mpambano huoSBondia Hamza Mchanjo kushoto akipambana na Juma...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA IMANI DAUD AMSAMBARATISHA HAMADUU MWALIMU KWA POINT

Bondia Imani Daud kushoto akipambana na Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita tandika Dar es salaam Daud alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi sita.Bondia Hamaduu Mwalimu akimrushia konde Imani Daud wakati wa mchezo wao uliofanyika Tandika Dar es salaa Daud alishinda kwa pointi
Bondia Nobel Syrvesta kushoto akipambana na Bakari Dunda wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Nobel alishinda kwa point picha...

 

9 years ago

Michuzi

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AMDUNDA ALLY MUHURO KWA T.K.O YA RAUNDI YA TATU


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifanyika siku ya jumamosi Class alishinda kwa T.K.O ya raund ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWSBondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS BADO NGOMA NGUMU COSAFA, YAPOTEZA MCHEZO WA PILI KWA KUPIGWA 2-0 NA MADAGASCER

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Cosafa, baada ya kufungwa mabao 2 - 0 na Madagascar, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.
Kwa Taifa Stars kupoteza mchezo huo, moja kwa moja inakua imeaga michuano katika hatua ya makundi, kutokana na kubakisha mchezo mmoja tu wa kukamilisha ratiba dhidi ya Lesotho utakaochezwa kesho ijumaa katika uwanja wa Moruleng.Katika mchezo huo wa jana, Taifa Stars...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani