BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AMDUNDA ALLY MUHURO KWA T.K.O YA RAUNDI YA TATU
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifanyika siku ya jumamosi Class alishinda kwa T.K.O ya raund ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWSBondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania