BONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE
Bondia Francis Cheka kulia akipambana na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Bondia Francis Cheka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane Bondia Shabani Kaoneka kulia akimtupia konde la nguvu Zumba kukwe wakati wa mpambano wao...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBONDIA WA KIKE LULU KAYAGE ALIVYO MSAMBALATISHA MWANNE HAJI
10 years ago
Vijimambo29 May
Kwa mara ya kwanza tangu atoke jela, Francis Cheka apima uzito kuzichapa na Mthailand kesho!
BONDIA Francis Cheka wa Tanzania na Kiatchai Singwancha kutoka Thailand wamepima uzito leo kwenye ukumbi wa Green Grill uliopo maeneo ya Victoria jijini Dar es Salaam tayari kwa pambano lao linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Masumbwi.Pambano hilo litapigwa kesho usiku kwenye ukumbi wa PTA Manispaa ya Temeke.
Cheka na Singwancha watazichapa kwenye pambano hilo la raundi 10 lisilo na ubingwa wowote, lakini ni mabondia hao wawili wanatafuta kulinda heshima.
Singwancha alitua Dar jana...
10 years ago
MichuziBONDIA FRANCIS CHEKA SASA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE
Cheka alikuwa akikabiliwa na kosa la kumpiga na kumjeruhi Bahati Kibanda, ambaye alikuwa ni meneja wa baa yake iitwayo Vijana Social Hall iliopo mjini Morogoro.
Cheka anatumikia kifungo chake cha nje kwa kufanya kazi za serikali kwa muda wa masaa manne...
10 years ago
GPLBONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA, KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE
10 years ago
Vijimambo17 Mar
BONDIA FRANCIS CHEKA ATOKA JELA SASA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE
Mahakama Mkoani Morogoro imembadilishia kifungo bondia Francis Cheka cha miaka mitatu ndani na sasa bondia huyo atatumikia kifungo cha nje.
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ........BONDIA FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA
Cheka alifikishwa kizimbani leo na kusomewa mashtaka ya kushambulia na kuzuru mwili,akidaiwa mnamo julai 02 mwaka 2014, bila uhalali na akijua kufanya hivyo ni kosa kisheria, alimpiga kwa ngumi maeneo ya kichwani na tumboni, Bahati Kabanda maarufu kama Masika,...
10 years ago
GPLCHEKA NOMA! AMPIGA MTHAILAND KWA TKO, AMTOA VIDAMU PUANI
10 years ago
Vijimambo29 Oct
BONDIA FADHILI MAJIHA AONESHA MAAJABU KWA KUPIGWA KWA POINT THAILAND MCHEZO WA RAUNDI 12
10 years ago
Michuzi20 Dec
BONDIA MAOKOLA AMDUNDA MKALAKALA KWA K,O YA RAUNDI YA 7 NA KUTETEA MKANDA WAKE