BONDIA WA KIKE LULU KAYAGE ALIVYO MSAMBALATISHA MWANNE HAJI
Bondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa kusherekea sikukuu ya Idi iliyofanyika manzese Dar es salaam Kayage alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa kusherekea sikukuu ya Idi iliyofanyika manzese Dar es salaam Kayage alishinda kwa point
Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwanne Haji wakati wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Jun
BONDIA WA KIKE MWANNE HAJI AWATAKA MABONDIA WA DAR
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/taXqG1f-VTQXuAFI7aEh7eXfvg0CCQnx_vUndhyiQIiNvXrKkQo2gB-oIaf3ae3DsVkl5GMKBpHPWKDBKTUwAiWeErl01Sbjj54yDcivUu73SBk1aYnV6dx88dtsxu3v9S98YMJ1HMq_YzCrDonQaQH_tmPC7Ezjklil5zIQgm5MUacKKDyteFmGf48GNtZzbzDwi8yD5Uq_Ork99CRSDY4YnXNq9-r8njJeMkGDsV2nECqi=s0-d-e1-ft#https://scontent-vie1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfa1/v/t1.0-9/10733985_898489510197193_4215524277264489871_n.jpg?oh=90b9259cc37f10bcfd62f650bd6dc2e1&oe=55EC608E)
Na Mwandishi Wetu
BONDIA wa kike Mwanne Haji ambaye amejitokez kupambana na mabondia kwa kike wa Dar es salaam baada ya kuwasumbuwa sana mabondia wenzake wanaotoka Chunya Mkoa wa Mbeya na sasa kujikita katija jiji lakitokea katika GYM ya Zugo iliyopo Gongolamboto
bondia uyo wa kike ambaye amesha panda uringoni kupambana na baadhi ya mabondiwa wa mkoani amesema amekuja kwa ajili ya mchezo wa msumbwi jijini hivyo mabondia wa kike wakae pembeni kwani sasa ata wasambalatisha mmoja baada ya...
10 years ago
VijimamboBONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE
9 years ago
Habarileo24 Oct
Bondia Lulu Kayage ajipanga kivingine
BONDIA Lulu Kayage, ameingia kambini kujiandaa na mchezo wake dhidi ya bondia Mwanne Haji utakaofanyika Uwanja wa Jamhuri Morogoro, Desemba 25 mwaka huu.
10 years ago
VijimamboSUPER D AZAWADIA BONDIA LULU KAYAGE VIFAA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-bCEqpo_viQ8/Vcg8LNJ-c4I/AAAAAAAAHO4/SincSwWdvuo/s72-c/11822353_922900184422792_8034616550061091264_n.jpg)
BONDIA LULU KAYAGE AIBUKA KIDEDEA AFRIKA YA KUSINI
9 years ago
VijimamboBONDIA LULU KAYAGE APAA AFRIKA YA KUSINI NA MATUMAINI YA USHINDI
Na Mwandishi WetuBONDIA wa Kike Lulu Kayage amenda tena nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya mpambano wake mwingine na bondia mwingine kutoka uko utakaofanyika agost 28 nchini Afrika ya kusini
akiongea kabla ya kupanda ndege bondia huyo alijingamba kuwa ataenda...
9 years ago
MichuziBONDIA LULU KAYAGE AJIFUA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Lulu Kayage, Mariam kuzichapa Krismasi
BONDIA Lulu Kayage yupo kwenye maandalizi makali kuelekea pambano lake la Desemba 25 dhidi ya Mariam Abdallah litakalopigwa katika ukumbi wa Hoteli ya Friends Corner, Magomeni jijini Dar es Salaam....
10 years ago
MichuziMABONDIA RAMA SHAURI NA LULU KAYAGE WAPAA AFRIKA YA KUSINI