Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONDIA LULU KAYAGE AIBUKA KIDEDEA AFRIKA YA KUSINI

Na Mwandishi WetuBONDIA wa Kike Lulu Kayage mwishoni mwa wiki iliyopita alibuka kidedea nchini Afrika ya kusini baada ya kumdunda vibaya   Lizbeth Sivhaga wa nchini humu huu ni mpambano wake wa kwanza Lulu kucheza nje ya nchi na kufanikiwa kushinda kwa T.K.O ya raundi ya pili mchezo uho ulioanza kwa kasi ya mashambulizi ya uku na kule kila mmoja kutaka kumpiga mwenzie raundi za awaliata hivyo ilivyofika raundi ya pili bondia Lulu Kayage alimwelemea sana mpinzani wake kwa makonde...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BONDIA LULU KAYAGE APAA AFRIKA YA KUSINI NA MATUMAINI YA USHINDI

Mdau wa mchezo wa ngumi nchini Hamissi Berege kushoto akizungumza na George Sabuni ambaye anambatana na bondia lulu Kayage kulia kwenda kwenye mpambano wake mwingine utakaofanyika agous 28 Afrika ya kusini picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi WetuBONDIA wa Kike Lulu Kayage amenda tena nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya mpambano wake mwingine na bondia mwingine kutoka uko utakaofanyika agost 28 nchini Afrika ya kusini
akiongea kabla ya kupanda ndege bondia huyo alijingamba kuwa ataenda...

 

10 years ago

Michuzi

MABONDIA RAMA SHAURI NA LULU KAYAGE WAPAA AFRIKA YA KUSINI

Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' katikati akiwa na mabondia Lulu Kayage kulia na Ramadhani Shauri wakienda kupanda ndege kwenda afrika ya kusini mabondia hawo wanapanda uringoni agost 9.Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah Othadhi katikati akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa na mabondia Ramadhan Shauri kushoto na Lulu Kayage kabla awajapaa kwenda afrika ya kusini kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa agost 9.Bondia Lulu Kayage. Mabondia wakiwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Bondia Lulu Kayage ajipanga kivingine

BONDIA Lulu Kayage, ameingia kambini kujiandaa na mchezo wake dhidi ya bondia Mwanne Haji utakaofanyika Uwanja wa Jamhuri Morogoro, Desemba 25 mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

SUPER D AZAWADIA BONDIA LULU KAYAGE VIFAA

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kikingia kinywa pamoja na clip bandeji na fulana yenye ndembo ya taifa hiii ni kwa ajili ya kumpa sapoto bondia huyo anaenda kupigana afrika ya kusini agost 9 na bondia Lizbeth Sivhaga wa uko anaeshudia katikati ni rais wa TPBO Yassini Abdallah Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kikingia kinywa pamoja na...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA WA KIKE LULU KAYAGE ALIVYO MSAMBALATISHA MWANNE HAJI

Bondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa kusherekea sikukuu ya Idi iliyofanyika manzese Dar es salaam Kayage alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWSBondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa kusherekea sikukuu ya Idi iliyofanyika manzese Dar es salaam Kayage alishinda kwa point Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwanne Haji wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA LULU KAYAGE AJIFUA KWA AJILI YA MAPAMBANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimnowa bondia Lulu Kayage wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake wa kugombania mkanda wa taifa desemba 25 na bondia Mwanne Haji mpambano utakaofanyika mkoa wa Morogoro katika uwanja wa jamuhuri picha na SUPER D BOXING NEWSBONDIA LULU KAYAGEBondia Lulu Kayage kushoto akielekezwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D'  jinsi ya kupiga ngumi za mkunjo wa chini 'upcut' ambazo...

 

10 years ago

Michuzi

YUSUPH MANJI AIBUKA KIDEDEA TUZO ZA VIONGOZI WA BIASHARA AFRIKA


MWENYEKITI  wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (PICHANI) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015.
Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika,  Aliko Dangote. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na uongozi Quality Group, ilisema  tuzo hiyo ilimshtua 'bosi' wao kwani hakutarajia na kwamba itasaidia kuvutia wawekezaji pamoja na kuongeza idadi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lulu Kayage, Mariam kuzichapa Krismasi

BONDIA Lulu Kayage yupo kwenye maandalizi makali kuelekea pambano lake la Desemba 25 dhidi ya Mariam Abdallah litakalopigwa katika ukumbi wa Hoteli ya Friends Corner, Magomeni jijini Dar es Salaam....

 

10 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton aibuka kidedea

Lewis Hamilton ameshinda mbio za Abu Dhabi Grand Prix,na kumfanya dreva huyo wa Formula One kuwa mshindi kwa mara ya pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani