BONDIA FRANCIS CHEKA AACHIWA, KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE
![](http://api.ning.com:80/files/O3p1FaWf5Ac2*1b9-paTs8uRRQm1Pxja8KH1lgDfFeDC3uiR7*2Zu2CmbmTZ95rElaCp4b4fEZppG1yJSKDBQG7OAUHv-DJX/breakingnews.gif)
BONDIA Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga ngumi meneja wa baa yake, amebadilishiwa adhabu ya kifungo. Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Tf7mG9MBqjk/VQg5M5X6KvI/AAAAAAAHLAc/C9MIWW7ut5I/s72-c/11111.jpg)
BONDIA FRANCIS CHEKA SASA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE
Cheka alikuwa akikabiliwa na kosa la kumpiga na kumjeruhi Bahati Kibanda, ambaye alikuwa ni meneja wa baa yake iitwayo Vijana Social Hall iliopo mjini Morogoro.
Cheka anatumikia kifungo chake cha nje kwa kufanya kazi za serikali kwa muda wa masaa manne...
10 years ago
Vijimambo17 Mar
BONDIA FRANCIS CHEKA ATOKA JELA SASA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE
![](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2013/05/Francis-Cheka.jpg)
Mahakama Mkoani Morogoro imembadilishia kifungo bondia Francis Cheka cha miaka mitatu ndani na sasa bondia huyo atatumikia kifungo cha nje.
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ........BONDIA FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA
Cheka alifikishwa kizimbani leo na kusomewa mashtaka ya kushambulia na kuzuru mwili,akidaiwa mnamo julai 02 mwaka 2014, bila uhalali na akijua kufanya hivyo ni kosa kisheria, alimpiga kwa ngumi maeneo ya kichwani na tumboni, Bahati Kabanda maarufu kama Masika,...
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Cheka atolewa jela, apewa kifungo cha nje
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
BONDIA nguli nchini, Francis Cheka, jana alitolewa rumande na kupewa kifungo cha nje, huku akitakiwa kuripoti katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mjini kila siku kwa ajili ya shughuli za kijamii.
Februari 2, mwaka huu, Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mkoani hapa ilimhukumu Cheka kifungo cha miaka mitatu kwenda jela na faini ya Sh milioni moja, baada ya kumshambulia na kumdhuru meneja wa baa yake, Bahati Kabanda, kosa alilofanya Julai 2, mwaka jana.
Hatua...
10 years ago
VijimamboBONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
11 years ago
Habarileo15 Jul
Wizara yasisitiza programu ya kifungo cha nje
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Idara ya Huduma kwa Jamii imesema ili urekebishaji wa wahalifu chini ya programu ya kifungo cha nje ufanikiwe, Serikali ichukue hatua za makusudi kueneza utekelezaji wa sheria ya huduma kwa jamii kwa nchi nzima.
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Kanye West apokea kifungo cha nje
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE: KIFUNGO CHA NJE SULUHISHO MSONGAMANO MAGEREZANI NCHINI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10