Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke Dar kortini kwa heroini

Mfanyabiashara na mkazi wa Mikocheni, Christina Kigahe (36) jana alipandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu ya kuingiza nchini dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh99 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwanamke wa heroini mahakamani leo

Mwanamke aliyekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam juzi, kwa tuhuma za kumeza za dawa za kulevya, amemaliza kutoa kete hizo kwa njia ya haja kubwa.

 

10 years ago

Habarileo

Kortini kwa kumshika matiti mwanamke

MatitiMCHUMI wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Brown Kajange (42) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kujibu mashitaka mawili, likiwamo la shambulio la aibu kwa kumshika matiti mwanamke bila ridhaa yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata kilo 200 za heroini Dar

>Kikosi kazi cha Jeshi la Polisi cha Kudhibiti Uharamia Baharini kimekamata kilo 201 za dawa za kulevya aina heroini zilizokuwa zikiingizwa nchini kutoka Iran.

 

9 years ago

Habarileo

Kortini akidaiwa kuua akigombea mwanamke

MFANYABIASHARA wa duka la vipuri vya magari mjini Tarime mkoani Mara, Tumaini Jacob amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya akituhumiwa mauaji ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

 

11 years ago

Habarileo

Waasia kortini kwa njama za kuteka Dar

 WATU wawili wenye asili ya bara la Asia, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kupanga njama za kuteka nyara. Washitakiwa waliofikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi, Devotha Kisoka ni Adili Yusuph (24) na Mahul Kava (24).

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR

Umati wa watu ukiwa unashangaa kitendo cha mwanadada (kushoto mwenye kitambaa cha zambarau kichwani) aliyemkwapulia 20,000 mwenzake.  Wengine wakitaka apigwe kama mwizi, wengine wakiomba asamehewe.…

 

5 years ago

Michuzi

MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25

MKAZI wa Jiji la Dar es Salaam Pedro Chongo a.k.a Salim Mgana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye uzito wa gramu 1523.25.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate  imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE AJERUHIWA KWA KUGONGWA NA DALADALA URAFIKI, DAR

 MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa ni mkazi wa Dar leo asubuhi aligongwa na gari aina ya…

 

5 years ago

Michuzi

MFANYABIASHARA DAR AFIKISHWA KORTINI KWA KUISABABISHIA TRA HASARA YA SHILINGI BILIONI TATU NA UTAKATISHAJI FEDHA

Na Karama Kenyunko- Michuzi TV

MFANYABIASHARA wa Jijini Dar es Salaam, Poison Batisha (36), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya Uhujumu yenye mashtaka ya kukwepa kodi, kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya sh. Bilioni tatu na utakatishaji fedha.

Akisoma hati ya mashtaka wakili wa serikali Janet Magoha amedai Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Janet Mtega kuwa, kati ya Januari Mosi 2012 na May 12, 2020 ndani ya jiji la Dar es Salaam,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani