Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke wa heroini mahakamani leo

Mwanamke aliyekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam juzi, kwa tuhuma za kumeza za dawa za kulevya, amemaliza kutoa kete hizo kwa njia ya haja kubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke Dar kortini kwa heroini

Mfanyabiashara na mkazi wa Mikocheni, Christina Kigahe (36) jana alipandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu ya kuingiza nchini dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh99 milioni.

 

9 years ago

MillardAyo

Mo Music kafikishwa Mahakamani Dodoma… chanzo ni Mwanamke (+audio)

Mwimbaji wa hit single ya ‘basi nenda‘ ambaye sasa hivi anapata airtime kubwa ya Radio kupitia single ya ‘skendo‘ Mo Music, anasema mwaka 2015 kwake umemalizika na huzuni baada ya kushtakiwa Mahakamani kwa kisa kilichoanzia kwa Mwanamke, kesi yake imetajwa December 21 2015. Alikua ni mpenzi wake wa zamani, toka wameachana ni zaidi ya miezi nane […]

The post Mo Music kafikishwa Mahakamani Dodoma… chanzo ni Mwanamke (+audio) appeared first on...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya kuharibu boti iliyopatikana na Heroini

Serikali ya Kenya inapanga kuharibu boti iliyopatikana imebeba mihadarati aina ya Heroini katika pwani ya Kenya

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata kilo 200 za heroini Dar

>Kikosi kazi cha Jeshi la Polisi cha Kudhibiti Uharamia Baharini kimekamata kilo 201 za dawa za kulevya aina heroini zilizokuwa zikiingizwa nchini kutoka Iran.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandishi Ethiopia Mahakamani leo

Kesi inayowakabili waandishi wa habari na wanablogu 10, waliokamatwa nchini Ethiopia inaanza kusikilizwa leo, jijini Addis Ababa.

 

9 years ago

Global Publishers

Kubenea apandishwa Mahakamani leo

said1Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea.

Baada ya taflani iliyotokea jana Jumatatu kati ya mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea wa Chadema na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda eneo la viwanda (EPZA) Mabibo jijini Dar hali iliyopelekea DC Makonda kuwaamuru polisi wamuweke chini ya ulinzi Saed Kubenea na kumpeleka Kituo cha Polisi. Leo Saed Kubenea amepandishwa kizimbani kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa wilaya ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Julius Malema mahakamani leo

Julius Malema wa chama cha Economic Freedom Front nchini A-Kusini atafika mbele ya Mahakama kuu ya Polokwane kujibu mashitaka

 

10 years ago

BBCSwahili

Karenzi Kareke kufikishwa mahakamani leo

Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda anatarajiwa kufika mahakamani hivi leo kuhusu madai ya uhalifu wa kivita yanayomkabili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani