Mo Music kafikishwa Mahakamani Dodoma… chanzo ni Mwanamke (+audio)
Mwimbaji wa hit single ya ‘basi nenda‘ ambaye sasa hivi anapata airtime kubwa ya Radio kupitia single ya ‘skendo‘ Mo Music, anasema mwaka 2015 kwake umemalizika na huzuni baada ya kushtakiwa Mahakamani kwa kisa kilichoanzia kwa Mwanamke, kesi yake imetajwa December 21 2015. Alikua ni mpenzi wake wa zamani, toka wameachana ni zaidi ya miezi nane […]
The post Mo Music kafikishwa Mahakamani Dodoma… chanzo ni Mwanamke (+audio) appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Mwanamume anavyokuwa chanzo cha mwanamke kutoa mimba II
KAMA ilivyo kawaida katika makala hii tunaanza na kishtua mada ili kupata ujumbe fulani wenye maana. Mshikaji 1: Mdogo wangu anaandika kitabu cha kuhusu maisha yake. Mshikaji 2: Oh! kumbe...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Mwanamume anavyokuwa chanzo cha mwanamke kutoa mimba — 3
KAMA kawaida, katika makala hii tunaanza na kishtua mada ili kupata ujumbe fulani wenye maana. Mshikaji 1: Waziri akishinikizwa na akajiuzulu ni kitendo cha uwajibikaji au sivyo? Mshikaji 2: Ndiyo...
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Mwanamke wa heroini mahakamani leo
11 years ago
Michuzi12 Mar
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Mwanamke alivyokimbiwa na mume baada ya kujifungua Muhimbili Dar… #Hekaheka (+Audio)
Hii stori imesikika kwenye show ya ‘Leo Tena‘ Clouds FM ambapo mwanamke mmoja amekimbiwa na mumewe baada ya kujifungua hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam. Mwanamke huyo amesema baada ya kutoka hospitali alikuta mwanaume kabeba kila kitu kwenye nyumba walipokuwa wamepanga, akakosa msaada mpaka akajitokeza mama mmoja ambaye alimsaidia kumpa hifadhi kwa muda. Japo wameishi […]
The post Mwanamke alivyokimbiwa na mume baada ya kujifungua Muhimbili Dar… #Hekaheka (+Audio) appeared first on...
10 years ago
GPL22 Oct
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82220000/jpg/_82220353_8x9a3257.jpg)
AUDIO: Rapper Zeus on music and xenophobia
10 years ago
Bongo519 Feb
Throwback Music: Ferooz — Umeniponza (Audio)
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80949000/jpg/_80949753_8x9a2932.jpg)
AUDIO: Mixing God with house music in Botswana