Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya kuharibu boti iliyopatikana na Heroini

Serikali ya Kenya inapanga kuharibu boti iliyopatikana imebeba mihadarati aina ya Heroini katika pwani ya Kenya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Boti la abiria lazama ziwa Victoria Kenya

Boti moja iliyokuwa imebeba abiria 23 imegongana na mtumbwi wa wavuvi na kuzama katika ziwa Victoria Magharibi mwa Kenya

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanamke wa heroini mahakamani leo

Mwanamke aliyekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam juzi, kwa tuhuma za kumeza za dawa za kulevya, amemaliza kutoa kete hizo kwa njia ya haja kubwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanamke Dar kortini kwa heroini

Mfanyabiashara na mkazi wa Mikocheni, Christina Kigahe (36) jana alipandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu ya kuingiza nchini dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh99 milioni.

 

10 years ago

Michuzi

JE MALI ILIYOPATIKANA KABLA YA NDOA INAHESABIKA NI YA FAMILIA ?.

MARA  kadhaa  linapoibuka  suala  la  kugawana  mali  pale  ndoa  inapohesabika  kushindikana   masuala  kadhaa  ya  msingi  na  yanayohitaji  uelewa  huwa  yanaibuka. Moja  ya  suala  kati  ya  masuala  ambayo  huibuka  ni  hili  la  kutenganisha  na  kufafanua  hadhi  ya  mali  za  wanandoa  ili  mgawanyo uweze  kufanyika  kwa  haki. Yawezekana  mwanandoa  akadhani  ana  haki  katika  mali  fulani  lakini  kumbe  kisheria  hana  haki  hiyo  ni mtazamo  wake  ndio  unamsukuma  kuamini ...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata kilo 200 za heroini Dar

>Kikosi kazi cha Jeshi la Polisi cha Kudhibiti Uharamia Baharini kimekamata kilo 201 za dawa za kulevya aina heroini zilizokuwa zikiingizwa nchini kutoka Iran.

 

5 years ago

CCM Blog

HOTELI YAFUNGWA ARUSHA ILIYOPATIKANA NA MGOJWA VIRUSI VYA CORONA


   Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya Mkoa huo amebainika kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona na kwamba hoteli ambayo amekutwa mgonjwa huyo imefungwa na hivyo hakuna anayeingia wala anayetoka.


Akizungumza  Machi 16 mwaka 2020 , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Gambo amesema kama ambavyo ameeleza Waziri wa Afya ,Maendeleo  ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ni kweli wamepata mgonjwa mmoja wa Corona na kwa mujibu wa taarifa huyo mgonjwa alishuka jana  katika Uwanja wa...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS FLASH: UHARIBIFU UWANJA WA TAIFA - TFF YAIOMBA RADHI SERIKALI, KULIPA HASARA ILIYOPATIKANA, YASEMA WANAOFANYA FUJO NA UHARIBIFU VIWANJANI KUKIONA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tunalaani vikali fujo na uhabirifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa na ligi za hapa nchini.
Tunaiomba radhi Serikali kwa uharibifu wa viti uliotokea kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.  Uharibifu huo wa viti umesababisha hasara ya sh. milioni 15 kwa wamiliki wa uwanja huo ambao ni Serikali....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kukata, kuharibu sehemu za siri

KAMA kawaida tunaanza makala hii na kishtua mada kwa kuwasikiliza washikaji wawili wakijadili jambo na kutuachia ujumbe. Mshikaji 1: Nasikia huko kwenu Mtwara ni washindi wa mambo mawilil; kuwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kukata, kuharibu sehemu za siri — 3

KAMA kawaida tuanze na kishtua mada kutoka kwa washkaji wawili. Mshikaji 1: Juzi Siku ya Wapendanao tulikubaliana na mchumba wangu kwamba kwa kuwa tutaoana; tusifichane siri. Nilimwambia siri yangu kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani