Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS FLASH: UHARIBIFU UWANJA WA TAIFA - TFF YAIOMBA RADHI SERIKALI, KULIPA HASARA ILIYOPATIKANA, YASEMA WANAOFANYA FUJO NA UHARIBIFU VIWANJANI KUKIONA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tunalaani vikali fujo na uhabirifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa na ligi za hapa nchini.
Tunaiomba radhi Serikali kwa uharibifu wa viti uliotokea kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.  Uharibifu huo wa viti umesababisha hasara ya sh. milioni 15 kwa wamiliki wa uwanja huo ambao ni Serikali....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WANAOFANYA FUJO, UHARIBIFU VIWANJANI KUKIONA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linalaani vikali fujo na uharifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa na ligi za hapa nchini. Tunaiomba radhi Serikali kwa uharibifu wa viti uliotokea kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Uharibifu huo wa viti umesababisha hasara ya sh....

 

10 years ago

Michuzi

News alert:mvua za masika zasababisha maafa, uharibifu wa nyumba na miundombinu leo

Na Abdulla Ali wa Maelezo, Zanzibar                                        

Mvua za masika zinazoendelea kunyesha Visiwani Zanzibar zimesababisha hasara kubwa ikiwemo upotevu mali na mifugo, uharibifu wa miundombinu pamoja na kusababisha vifo vya watu. Hadi sasa watu wawili  ambao ni Nd. Juma Hamad (25) mkaazi wa Mwanakwerekwe na mtoto mmoja  mkaazi wa Kinuni anaekisiwa kuwa na miaka 8 wamepoteza maisha. Wote wawili ni kutoka Wilaya ya Magharibi Unguja.Hayo yamweelezwa na Waziri wa Nchi,...

 

10 years ago

Michuzi

serikali yajipanga kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni nchini

Serikali kwa kupitia mkataba wa Motrial wa mwaka 1987 imejipanga thabiti katika kuhakikisha kuwa tatizo la uharibifu wa tabaka la ozini linapata suluhu Tanzania.
Mkurugenzi wa Manzingira Ofisi ya Makam wa Rais, Dk. Julius Ningu aliyasema hayo ofisini kwake katika mahojiano na waandishi wa habari alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya hatua ya serikali katika kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni.
Dk. Ningu alisema kuwa kabla ya mwaka 1985 wanasayansi waligundua kumomonyoka kwa tabaka la...

 

9 years ago

Michuzi

TFF YAIOMBA SERIKALI KUONDOA USHURU KWA VIFAA VYA MICHEZO.

TFF yaiomba serikali kuondoa ushuru kwa vifaa vya michezo ili kutoa fursa ya kuibua vipaji vya wanamichezo.

 

9 years ago

BBCSwahili

CNN yaiomba Kenya radhi kwa ripoti potofu

CNN imeomba radhi Kenya kuhusiana na taarifa iliyopeperushwa hewani,ikidai kuwa Kenya ni kitovu cha ugaidi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mvua yaleta uharibifu Tz

Kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mashamba, nyumba na miundo mbinu. Zaidi ya watu 3000 hawana makazi Morogoro wakisubiri msaada.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uharibifu mazingira tishio

ZAIDI ya theluthi mbili ya ardhi nchini imeathiriwa na uharibifu wa mazingira, hali iliyosababisha upungufu wa mvua na ongezeko la joto. Mtafiti wa Kilimo wa Taasisi ya Kartin, Abdallah Mpunga,...

 

10 years ago

GPL

UHARIBIFU WA BARABARA DAR

Gari likiwa limekwama katika moja ya kingo ya barabara ya Morogoro maeneo ya Jangwani. Hii ndiyo kingo ambayo imekuwa ikipandwa na magari mbalimbali, kwa mbali ni gari lililonasa. KAMERA ya GPL  leo imelinasa gari moja maeneo ya Jangwani jijini Dar,  likiwa limenasa katika moja ya kingo za barabara ya Morogoro baada ya kutaka kuruka kingo… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani