Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CNN yaiomba Kenya radhi kwa ripoti potofu

CNN imeomba radhi Kenya kuhusiana na taarifa iliyopeperushwa hewani,ikidai kuwa Kenya ni kitovu cha ugaidi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa zamani wa CNN mwenye asili ya Kenya, Zain Verjee atoa maoni kuhusu ripoti ya kituo hicho iliyowakera Wakenya

Wakati Rais wa Marekani, Barack Obama akianza safari ya kuelekea Kenya, CNN waliripoti habari kuwa Obama anaenda kwenye kitovu cha ugaidi na kuwakwaza wakenya wengi wanaotaka CNN iwaombe radhi. President @BarackObama isn't just heading to his father's homeland, but to a hotbed of terror: http://t.co/OkTE671wfe pic.twitter.com/ZnrhE8yFzy — CNN (@CNN) July 23, 2015 Zain Verjee, mtangazaji […]

 

11 years ago

Michuzi

NEWS FLASH: UHARIBIFU UWANJA WA TAIFA - TFF YAIOMBA RADHI SERIKALI, KULIPA HASARA ILIYOPATIKANA, YASEMA WANAOFANYA FUJO NA UHARIBIFU VIWANJANI KUKIONA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tunalaani vikali fujo na uhabirifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa na ligi za hapa nchini.
Tunaiomba radhi Serikali kwa uharibifu wa viti uliotokea kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.  Uharibifu huo wa viti umesababisha hasara ya sh. milioni 15 kwa wamiliki wa uwanja huo ambao ni Serikali....

 

9 years ago

Africanjam.Com

CNN APOLOGISES TO KENYA


Cable News Network (CNN) has apologized to Kenya over a recent terrorism slur.In a televised CNN report preceding President Obama’s July trip to Kenya, the news network has referred to the East African country as a “hotbed of terror” while highlighting the possibility of an attack by Al-Shaabab militants during the President’s visit.
Kenyans were not amused by CNN’s labeling and immediately took to social media to hurl insults and sarcastic humor at CNN under the hashtag #SomeoneTellCNN,...

 

10 years ago

BBC

Kenya demands CNN apology over slur

Kenya's interior minister calls on US news channel CNN to apologise for calling the region a "hotbed of terror" ahead of President Barack Obama's visit.

 

9 years ago

Michuzi

CNN African Journalist awards - Nairobi, kenya

 Mshindi wa habari za uchunguzi kwa mwaka 2013, Msindi Fengu(wa pili kutoka kulia), akitoa mada wakati wa mjadala uliohusu miaka 20 ya uandishi wa habari barani afrika,mjadala huo unafanyika nchini Kenya. Washriki wa mashindano ya uandishi wa habari yanayoandaliwa na CNN wakiwasili katika Viwanja vya bustani ya Zen,jijini Nairobi kwa ajili ya kuhudhuria mjadala ambao mambo kadhaa yanayohusu tasnia hiyo yatajadiliwa. Mhiriki kutoka Tanzania, Abubakari Akida, akifuatilia mjadala huyo.Mwandishi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yasitisha mkataba CNN kutangaza utalii

Halmashauri ya Utalii imesema imesitisha matangazo ya kibiashara na CNN kutokana na ripoti iliyodai Kenya ni kitovu cha ugaidi.

 

9 years ago

Michuzi

TFF YAIOMBA SERIKALI KUONDOA USHURU KWA VIFAA VYA MICHEZO.

TFF yaiomba serikali kuondoa ushuru kwa vifaa vya michezo ili kutoa fursa ya kuibua vipaji vya wanamichezo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gavana awaomba radhi wanawake Kenya

Mwanasiasa mashuhuri nchini Kenya amewaomba radhi wanawake kwa matamshi yake kuwa wanawake ambao hawajaolewa hawapaswi kushikilia nyadhifa za kisiasa.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI AWAOMBA RADHI WANAFUNZI KENYA

Waziri wa Usalama nchini Kenya, Joseph Nkaissery. Waziri wa Usalama nchini Kenya Joseph Nkaissery amewaomba radhi wanafunzi wa shule ya msingi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi wakati walipokuwa wakiandamana kupinga unyakuzi wa kipande cha ardhi ambacho kilikuwa uwanja wao wa kuchezea. Wanafunzi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi kwa kuandamana kupinga unyakuzi wa uwanja… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani