Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtangazaji wa zamani wa CNN mwenye asili ya Kenya, Zain Verjee atoa maoni kuhusu ripoti ya kituo hicho iliyowakera Wakenya

Wakati Rais wa Marekani, Barack Obama akianza safari ya kuelekea Kenya, CNN waliripoti habari kuwa Obama anaenda kwenye kitovu cha ugaidi na kuwakwaza wakenya wengi wanaotaka CNN iwaombe radhi. President @BarackObama isn't just heading to his father's homeland, but to a hotbed of terror: http://t.co/OkTE671wfe pic.twitter.com/ZnrhE8yFzy — CNN (@CNN) July 23, 2015 Zain Verjee, mtangazaji […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

CNN yaiomba Kenya radhi kwa ripoti potofu

CNN imeomba radhi Kenya kuhusiana na taarifa iliyopeperushwa hewani,ikidai kuwa Kenya ni kitovu cha ugaidi.

 

10 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LATOLEA UFAFANUZI KUHUSU KUKAMATWA KWA MTU MWENYE ASILI YA KIASIA AKIWA NA TSHS. 722,500,00 KATIKA HOTELI YA ST. GASPER

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP David Misime

YAH: TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWAVYOMBO VYA HABARI TAREHE 14/07/2015

Napenda kutoa taarifa fupi kuhusu tukio lililotokea tarehe 11/07/2015 majira ya saa 10:00 hrs huko katika Hoteli ya St. Gasper hapa mjini Dodoma, kuwa wananchi walitoa taarifa majira ya saa nne asubuhi kwamba kuna mtu mmoja mwenye asili ya Kiasia amekamatwa na wananchi...

 

10 years ago

GPL

CHIKAWE ATOA TAMKO KUHUSU KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe,  akitoa tamko.  …akiendelea kutoa ufafanuzi kuhusu tamko lake. …akiandika moja ya maswali aliloulizwa na mwanahabari (hayupo pichani).…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Bunge la Kenya lafuta kikao, huku Wakenya wakionywa kuhusu wakati mgumu

Kikao cha bunge nchini Kenya kilichotarajiwa kufanyika siku ya Jumatano katika mji mkuu wa Nairobi kimefutiliwa mbali.

 

9 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Abaas Mwinyi Atimiza Ahadi Zake kwa Kituo cha Afya Fuoni kwa Kukabidhi Dawa na Masinki ya Vyoo kwa Kituo Hicho.

Daktari Dhamana wa Kituo cha Afya Fuoni Said Fadhili Abass akizungumza wakati wa mkutano huo na Mbunge wa Jimbo la fuoni na kumshukuru kwa msaada wake huo kwa Kituo chao. na kusema dawa hizo zitatumika kwa wananchi wa Jimbo hilo wanaofika kituoni hapa kupata huduma mbalimbali za Afya.  Wauguzi wa Kituo cha Afya Fuoni wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Fuoni Mhe Abass Mwinyi wakati akizungumza na Wafanyakazi hao katika ziara yake kutembelea Kituo hicho na kukabidhi madawa kwa ajili ya Wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

WANASOKA NYOTA WA ZAMANI WAMTEMBELEA MTANGAZAJI WA AZAM Media CHARLES HILARY KAZINI KWAKE

 Mtangazaji nguli wa Azam Media Charles Hilary (kulia) akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Taifa Stars Omari Zimbwe (kushoto) na Shaaban Katwila walipomtembelea kazini kwake Tabata Relini jijini Dar es salaam   Mtangazaji nguli wa Azam Media Charles Hilary (kulia) akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Taifa Stars Omari Zimbwe (kushoto) na Mphamed Hussein "Mmachinga" walipomtembelea kazini kwake Tabata Relini jijini Dar es salaam 
 Mtangazaji nguli wa Azam Media Charles Hilary (kati) akiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

POMBOO: Samaki mwenye asili ya nchi kavu

POMBOO ni mnyama wa baharini ambaye yupo kundi moja na samaki wengine kama vile nyangumi na porpoises. Kuna kama aina 40 za pomboo ambao wamegawanyika katika makundi makubwa 17. Makundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani