WANAOFANYA FUJO, UHARIBIFU VIWANJANI KUKIONA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linalaani vikali fujo na uharifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa na ligi za hapa nchini. Tunaiomba radhi Serikali kwa uharibifu wa viti uliotokea kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Uharibifu huo wa viti umesababisha hasara ya sh....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNEWS FLASH: UHARIBIFU UWANJA WA TAIFA - TFF YAIOMBA RADHI SERIKALI, KULIPA HASARA ILIYOPATIKANA, YASEMA WANAOFANYA FUJO NA UHARIBIFU VIWANJANI KUKIONA
Tunaiomba radhi Serikali kwa uharibifu wa viti uliotokea kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Uharibifu huo wa viti umesababisha hasara ya sh. milioni 15 kwa wamiliki wa uwanja huo ambao ni Serikali....
9 years ago
VijimamboDK MAGFUNGA KAZI MWANZA, RAIS KIKWETE ASEMA ATAKAYE FANYA FUJO IUCHAGUZI MKUU KUKIONA CHA MOTO
Dk Magufuli amewaomba watanzania wote kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu unaofanyika leo ambapo yeye amesema atawalipa kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuwaletea maendeleo Wanzania.PICHA ZOTE NA RICHARD...
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Viwanjani mwishoni mwa wiki
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Tiger Woods kurejea viwanjani
10 years ago
Habarileo12 Aug
Yanga, Azam viwanjani leo
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Yanga na wale wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame Azam FC leo wanashuka dimbani kwenye viwanja viwili tofauti kujipima katika michezo ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Ruvu yaomba ulinzi viwanjani
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Wabuni mbinu kuepuka Vurugu viwanjani