Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege zimetelekezwa airport mwaka mzima, mwenye nazo hajulikani ?!! Cheki na hii ya ndege tatu..

Eti ndege zimetelekezwa na mwenyewe hafahamiki ??!! Kichwa cha habari huenda kikakushtua lakini ndio hivyo, na ndege zenyewe zimekaa airport mwaka mzima uwanja wa Kuala Lumpur, Malaysia. Baada ya ndege hizo kutekelezwa uwanjani hapo kwa zaidi ya mwaka mmoja, ilibidi uongozi wa uwanja huo wapeleke matangazo magazetini kutaarifu kwamba kwa mmiliki wa ndege hizo ajitokeze […]

The post Ndege zimetelekezwa airport mwaka mzima, mwenye nazo hajulikani ?!! Cheki na hii ya ndege tatu.. appeared first...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiteta jambo na Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu(United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, kabla ya Uzinduzi wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana. Magari ya Zimamoto yakimwaga maji kuashiria uzinduzi na ukaribisho wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere...

 

9 years ago

Raia Mwema

Taa zakwamisha ndege za mashirika ya kimataifa kutua Songwe Airport

UWANJA wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya unafunga mwaka ukiwa na ongezeko la abiria takribani mara

Felix Mwakyembe

 

10 years ago

Mwananchi

Mtanzania wa kwanza mwenye leseni ya uhakiki ndege kimataifa

Leseni ni kibali maalumu kwa kazi maalumu, biashara au huduma anayopewa mtu au kikundi kwa lengo la kutekeleza shughuli zake kihalali baada ya kutimiza sifa au matakwa yaliyowekwa.

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA MASHIRIKA YA NDEGE WATAKA BARABARA YA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE IPANULIWE

Watendaji wa mashirika ya ndege nchini wameiomba Serikali kupanua Barabara ya Nyerere ili kuwawezesha abiria wanaosafiri kwa ndege kuwahi usafiri kufuatia ongezeko lao kubwa na la ndege pia linalotarajiwa  kufuatia kuwepo kwa jengo jipya la abiria (TB III) linalotarajiwa kukamilika mwaka 2016.
Rai hiyo imetolewa jana na watendaji wa mashirika 19 ya ndege yanayoendesha shughuli zake katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) walipozuru ujenzi TB III ikiwa  ni moja ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria (Air Algerie) iliyopoteza mawasiliano ya Rada katika anga la Mali mapema leo ikiwa na abiria 116 na watumishi sita imeanguka, Shirika la Habari la Reuters linaripoti.

 

5 years ago

Michuzi

UJENZI MRADI MKUBWA ENEO LA MAEGESHO YA NDEGE UWANJA WA NDEGE WAPAMBA MOTO ZANZIBAR

Kazi ya ujenzi wa mradi mkubwa wa eneo la maegegesho ya ndege kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar zimeanza kupamba moto baada ya kusita kwa muda mrefu.

Harakati za umwagaji wa zege katika sehemu za kupakia na kushukia abiria ziko katika hatua nzuri chini ya wahandisi wa kampuni ya kimataifa ya CRJ kutoka nchini China wakisaidiwa na wahandisi na washauri wazalendo waliobobea kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salam.

Makamu wa Pili wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa kampuni ya Ndege ya Fastjet watembelea Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA)

Fastje2

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman (katikati) akipokea zawadi ya sanamu ya ndege toka kwa Meneja Mkuu wa kampuni ya Ndege ya Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati baada ya viongozi wa kampuni hiyo kutembelea uongozi wa TAA na kufanya mazunguzmo mafupi hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Meneja wa mahusiano kati ya Fastjet na Serikali, Engineer August Kowero.

Fastjet3

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani