MUME MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?
Ni Jumatatu nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu katika ukurasa wetu huu, tujadiliane na kuzungumza mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita, nilihitimisha mada iliyokuwa inazungumzia mwanamke mzuri anapaswa kuwa na vigezo gani? Kutokana na maombi ya wasomaji wangu, nimeamua kuhamia upande wa pili na kujadili pia sifa za mume au mwanaume bora. Nazungumza na wewe mwanamke au msichana, hivi umewahi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMWANAMKE MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?
10 years ago
GPLMWANAMKE MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?- 2
10 years ago
GPLMWANAUME BORA ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?-2
10 years ago
VijimamboRay C : Naomba kuwatangazia kuwa natafuta mchumba wa kuishi naye milele! Atoa vigezo 10 vya mume amtakaye
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefungua mlango kwa mwanaume yoyote anayetaka kumuoa ajitokeze ilimradi awe na vigezo 10 ambavyo ameviainisha.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Ray C ameandika:
“Habari zenu wapendwa wote dunia nzima!Leo na habari nzuri sana kwenu,Naomba kuwatangazia kuwa natafuta Mchumba wa kuishi nae milele!nataka niwe nae milele na nimzalie watoto wawili wa kike na wakiume!!!!
Ila naomba niwambie kabisa masharti
1.Awe mpole ili nikikasirika anibembeleze
2.Awe...
11 years ago
Tanzania Daima01 May
JK ametumia vigezo gani vya madaraja nishani za Muungano?
MWANZONI mwa wiki hii Rais Jakaya Kikwete aliwatunuku nishani viongozi mbalimbali waliotumikia taifa hili kwa nyakati tofauti. Rais Kikwete alitunuku nishani hizo kama sehemu ya kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka...
10 years ago
GPLISHU SI KUOA, ILA UNAMUOA NANI KWA VIGEZO GANI?
10 years ago
GPLISHU SI KUOA, ILA UNAMUOA NANI KWA VIGEZO GANI?-2
10 years ago
GPLWAZAZI WANA NAFASI GANI KATIKA KUKUCHAGULIA MKE / MUME?-2
10 years ago
GPLWAZAZI WANA NAFASI GANI KATIKA KUKUCHAGULIA MKE/MUME?