Huu ndio mpango wa ex wa Zari na mpambe wake wa kutaka kuharibu furaha ya ujio wa Tiffah
Ulimwengu una maajabu mengi na mitandao ya kijamii inatusaidia kuyafahamu. Uhusiano wa Diamond na Zari the Bosslady haujawahi kupokelewa vizuri na ex wake Ivan aliyezaa naye watoto watatu wa kiume. Ivan (kulia) akiwa na mpambe wake King Lawrenc (kushoto) na Jose Chameleone Watoto hao wameendelea kuwa karibu na wazazi wote wawili. Uhusiano wa ulipoanza tu, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Aug
Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!
Guys kuna mambo mengi sana feki yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii. Tena zaidi ni kuwa mengi yanakuja na picha zinazoashiria ukweli lakini katika maisha ya chuki na visasi, kila kitu kinawezekana. Mtoto wa Diamond, Tiffah Bahati mbaya tunaishi kwenye dunia ambayo watu huamini haraka mambo hasi ambayo kwa kawaida husambaa haraka zaidi kuliko yale chanya. […]
9 years ago
Bongo528 Sep
Picha: Tiffah alivyoiongezea furaha familia ya Zari Afrika Kusini
Pamoja na kuwa ni watoto wa baba tofauti, watoto wa kiume wa Zari wamempokea kwa furaha kubwa Tiffah, mtoto wa Zari the Bosslady. Zari kwenye picha hii ameandika: If anybody ever said perfect doesn’t exist, they were wrong. It surely does!!!! Look at my ‘perfect’ lil life Baada ya Tiffah kufikisha siku 40, sasa ni […]
9 years ago
Bongo519 Oct
Ivan bado anampenda mno Zari, asema mpambe wake (Picha)
Anaishi maisha ya kifahari, ni tajiri, anamiliki magari ya gharama kubwa, ana mijengo, biashara kibao na ana uwezo wa kumpata msichana yoyote anayemtaka kwa kutumia nguvu ya utajiri wake, lakini Ivan bado hajamsahau Zari the Bosslady aliyezaa naye watoto watatu wa kiume. Kwa mujibu wa mpambe wa King Lawrenc, Ivan ambaye ni raia wa Uganda […]
9 years ago
Bongo502 Oct
Utafiti: Huu ndio umri ambao binadamu anakuwa na furaha zaidi
Utafiti mpya umebaini kuwa kilele cha furaha kwa binadamu kipo pale anapokuwa na miaka 20 na! Hata hivyo watafiti hao pamoja na kudai kuwa kipindi kigumu zaidi ni wakati mtu ana miaka 10, kuna matumaini bado. Utafiti wao umebaini kuwa maisha hurejea tena kuwa ya furaha kwenye umri wa miaka 65! Swali ni wangapi watafika […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania