Tigo yatoa mil.400/- katika promosheni
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imekabidhi Sh milioni 400 ndani ya mwezi mmoja katika promosheni yake. Promosheni hiyo ni ya ‘Cheza Kwa Furaha Unaposhinda Kitita na Tigo Pesa’ huku Sh milioni 720 zikiendelea kushindaniwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsqCgq9CGHK7YBmTr9ZK0-Fh8tdSWp0j1QVIfhxvRe6RN2vpzPUjLP3Hkujby2zxovc4uLWs0CWKwNJbTWl-T5cS/1.jpg?width=650)
TIGO YATOA MILIONI 400 KWA WATEJA WAKE
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Tigo yatoa udhamini kwa washindi wa Tigo Ngorongoro Run kushiriki Tigo Kili Half Marathon 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa wanariadha ambao walishinda mbio za mwaka jana za Tigo Ngorongoro Run Marathon kushirki kwenye mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon, Kushoto kwake ni Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha na Kulia kwake ni mwanariadha Mary Naali na Mjumbe toka Riadha Tanzania Meta Petro. Mkutano huo ulifanyika Mkoani Arusha jana.
10 years ago
Habarileo05 Jan
Akamatwa na mil.400/-feki
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa, Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingekuwa halali zingekuwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 400.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-V5SQF2oUQcM/Xk05PJRcopI/AAAAAAAEFGo/wek3HE-p8acgZrdCK9zgbLbFLGE2IEg8QCLcBGAsYHQ/s72-c/R3.jpg)
Tigo yazindua Promosheni ya Bid-2-Win (Toa bei Ushinde)
![](https://1.bp.blogspot.com/-V5SQF2oUQcM/Xk05PJRcopI/AAAAAAAEFGo/wek3HE-p8acgZrdCK9zgbLbFLGE2IEg8QCLcBGAsYHQ/s640/R3.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-vUmYpyw17No/Xkz8dofUlrI/AAAAAAAA9cQ/HxvNe0wuYIYaQ_CXRgu60USAAXk9FgfOwCLcBGAsYHQ/s640/R6.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/V7mcip*tK2RF1Lvix9ktm5ATjmVhqcKJgbQ1YpU6aiqTKVFMDE8gdSeb-2n*BovgcK5ngkF2gM51qDZjjPXUi1nH-np4NuCW/001.JAY.jpg?width=750)
MAMA MKULIMA ASHINDA MIL. 10/- ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Tigo yazawadia watumiaji wake Sh400 mil
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Tigo yatoa Dola 40,000 kuendeleza miradi ya wajasiriamali-jamii
Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt (wa pili kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya dola za marekani 20,000 kwa mshindi wa shindano la Tigo Reach For Change, Bihage Edward kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Dar es Salaam jana. wanaoshuhudia ni Ofisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Shavkat Berdiev (kulia) na Meneja Mkazi wa Reach For Change, Peter Nyanda (kushoto).
![](http://2.bp.blogspot.com/-OwWd2oTFDzg/VnHj4JG40QI/AAAAAAAAXbc/WJOFF8cR1ys/s640/tigo%2Br4c-004.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Feb
Kampuni ya Tigo yatoa msaada Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini Bw. David Charles (mwenye miwani kichwani) akiongoza wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Tigo kutoa msaada kwa wagonjwa wa Hospitali ya Tengeru kwenye siku ya Wapendanao mwishoni mwa wiki Mkoani Arusha.
Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii wa Tigo Bi.Woinde Shisael akikabidhi msaada kwa mgonjwa Bi.Elizabeth Swai ikiwa ni sehemu ya msaada uliyotolewa na Kampuni ya Tigo siku ya Wapendanao (Valentine Day) kwenye Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni...
10 years ago
Dewji Blog10 Dec
Tigo yatoa dola 40,000 kwa miradi ya wajasiriliamali jamii
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha ushiriki kwenye shindano la Tigo Digital Changemakers kwa Severin Philemon wakati wa kutangaza washindi wa shindano hilo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Tigo kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali Reach for Change leo imetangaza washindi wawili wengine wa wajasiriliamali jamii watakaodhaminiwa kiasi cha dola elfu 20,000 kila mmoja kwa ajili ya kuendesha miradi yao inayolenga kuinua hali ya maisha...