Tigo yazindua Promosheni ya Bid-2-Win (Toa bei Ushinde)
Mtaalamu wa Huduma za Kidigitali wa Tigo, Ikunda Ngowi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (Hawapo pichanoI). mapema leo katika uzinduzi wa promosheni ijulikanayo kama ‘Bid-2-Win’ au Toa bei ushinde itakayowapa wateja nafasi ya kununua bidhaa mbalimbali kwa bei ya chini. Katika promosheni hiyo wateja wateweza kujishindia zawadi zenye thamani ya hadi Sh5 milioni. Pembeni yake ni Mtaalam wa huduma za ziada Fabian Felician. Mtaalamu wa Huduma za Kidigitali wa Tigo, Ikunda Ngowi akijibu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNMB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA NA USHINDE
Washindi hao wamepatikana ndani ya mwezi mmoja tangu kuanzishwa kwa promosheni hii ya Weka na Ushinde ambayo inaendelea hadi mwishoni mwa mwaka huu 2014.
Benki ya NMB inatoa wito kwa wananchi kwa ujumla kuchangamkia fursa kwa kushiriki kampeni ya Weka na...
9 years ago
Michuzi25 kuibuka washindi katika droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO
9 years ago
Michuzidroo ya pili ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" kutoka GAPCO yachezeshwa leo
9 years ago
MichuziDroo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO yafanyika jijini Dar es Salaam
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Kampuni ya simu ya Tigo yazindua kampeni ya ‘Chagua Tigo Pesa, Inalipa’
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa kampeni ya ya Chagua Tigo Pesa, Inalipa. Kulia ni Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga.
Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Tigo yatoa mil.400/- katika promosheni
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imekabidhi Sh milioni 400 ndani ya mwezi mmoja katika promosheni yake. Promosheni hiyo ni ya ‘Cheza Kwa Furaha Unaposhinda Kitita na Tigo Pesa’ huku Sh milioni 720 zikiendelea kushindaniwa.
10 years ago
Dewji Blog25 Apr
Tigo launches bid to become biggest 4G network in Tanzania
Tanzania’s Minister of Communications, Science and Technology Professor Makame Mbarawa (Guest of Honour) addressing stakeholders during the launch of 4GLTE technology by Tigo Tanzania.
Ag Tigo Tanzania General Manager Cecile Tiano making her key-note speech during the launch of the fastest Network in Tanzania 4GLTE in Mlimani City, Dar es Salaam.
From Left: Tanzanian Socialite Abby Platjes and Musician Vanessa Mdee getting schooled on how 4G LTE technology works by Tigo...
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Airtel yazindua promosheni nyingine
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imezindua promosheni mpya itakayofahamika kama ‘Jiongeze na Mshiko’ inayotarajiwa kudumu kwa siku 120.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini hapa jana, Meneja Huduma za Ziada wa kampunii hiyo, Prisca Tembo, alisema promosheni hiyo inalenga kuboresha uhusiano kati ya kampuni na wateja wake nchini kote.
“Wateja watakuwa wakizawadiwa kila wiki kwa miezi hiyo minne kupitia promosheni hii ambapo mteja atapewa nafasi ya kujiunga na...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
TTCL yazindua promosheni ya bewerere
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezindua promosheni inayolenga kuwapa wananchi huduma bora kwa bei nafuu inayojulikana kwa jina la Bwerere. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Ofisa...