Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Droo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO yafanyika jijini Dar es Salaam

Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi (katikati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wake kujipatia lita 40 za mafuta kwa kila mshindi wa droo hiyo kila wiki. Kulia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Bakari Maggid, na kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya mafuta ya GAPCO Tanzania, Michael Chobu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Droo ya kwanza ya Jaza Mafuta na Ushinde kutoka Gapco yachezeshwa jijini Dar

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (katikati) akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta kuwatafuta washindi wa promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wa mafuta katika vituo mbali mbali vya GAPCO jijini Dar es salaam kujipatia mafuta ya bure. Jumla ya Wateja 25 hupata bahati ya kuwekewa mafuta bure. Kushoto ni Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy na kulia ni Mejena Mradi wa GAPCO, Mohit Sharma.

 

9 years ago

Michuzi

droo ya pili ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" kutoka GAPCO yachezeshwa leo

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya Mafuta ya GAPCO, Rashid Khalfan (kulia) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya pili ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayoendeshwa na Kampuni hiyo na kusimamiwa na Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy (kushoto). katikati ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.

 

9 years ago

Michuzi

25 kuibuka washindi katika droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayoendeshwa na Kampuni hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 20 huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Droo ya tatu ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde” ya GAPCO yafanyika jijini Dar

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde” inayoendeshwa na Kampuni hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 25 huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.


 

11 years ago

GPL

DROO NDOGO YA PILI PROMOSHENI YA SHINDA MAHELA YAFANYIKA MABIBO JIJINI DAR

Kijana aliyejitokeza kuchanganya kuponi kwa ajili ya mshindi wa TV na Decoder akichanganya kuponi kabla ya kumpata mshindi. ...Kijana huyo akifunikwa macho ili achague kuponi ya mshindi.…

 

9 years ago

Michuzi

DROO YA PILI YA AIRTEL MKWANJIKA PROMOSHENI YAFANYIKA

 Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuendesha droo ya pili ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 28 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Akishuhudia ni balozi wa Airtel Mkwanjika na mtangazaji wa kipindi cha planet Bongo cha EATV Abdallah  Hamisi Ambua  (kushoto) akifuatiwa na  msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini , Mrisho Milao (wa pili kulia) na Afisa Masoko wa Airtel...

 

11 years ago

GPL

PROMOSHENI YA GAZETI LA UWAZI JIJINI DAR YAFANYIKA LEO

Wasomaji wa gazeti la Uwazi wakinunua gazeti hilo kwenye gari la matangazo. Mhariri…

 

11 years ago

Michuzi

SBL YACHEZESHA DROO YA NNE YA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YAENDELEA .

Pichani kati ni Meneja wa bia ya Serengeti Bw Rodney Rugambo akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani),mapema leo jijini dar  kuhusiana na mshidi aliyejishindia tiketi ya kwanza ya kwenda nchini Brazili  Meneja wa bia ya Serengeti Bw Rodney Rugambo akizungumza na mshidi huyo kwa njia ya simu ya kiganjani.
SBL YACHEZESHA DROO YA NNE YA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YAENDELEA   .
Hatimaye mshindi wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili kupitia bia ya Serengeti...

 

10 years ago

Michuzi

mahafali ya shule ya sekondari Twayyibat kidato cha nne yafanyika temeke jijini dar

  Sehemu ya meza kuu,kutoka kulia ni Imam Abbasi Maunda  (mdau), Bi Halima Mamuya (mdau), Balozi Amina Salum Ali (mgeni rasmi), Fatma Khalfan (Mwenyekiti wa bodi), Juma Omari (mkuu wa shule) wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mahafali hayo ya kidato cha nne,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki,Temeke jijini Dar.Mkuu wa Shule ya sekondari Twayyibat,Juma Omari akizungumza machache mbele ya wageni waalikwa mbalimbali,waliofika kwenye hafla hiyo ya mahafari iliyofanyika mwishoni mwa wiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani