Droo ya tatu ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde†ya GAPCO yafanyika jijini Dar
Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde” inayoendeshwa na Kampuni hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 25 huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziDroo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO yafanyika jijini Dar es Salaam
9 years ago
Michuzi25 kuibuka washindi katika droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO
9 years ago
MichuziDroo ya kwanza ya Jaza Mafuta na Ushinde kutoka Gapco yachezeshwa jijini Dar
9 years ago
Michuzidroo ya pili ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" kutoka GAPCO yachezeshwa leo
11 years ago
GPLDROO NDOGO YA PILI PROMOSHENI YA SHINDA MAHELA YAFANYIKA MABIBO JIJINI DAR
9 years ago
MichuziDROO YA PILI YA AIRTEL MKWANJIKA PROMOSHENI YAFANYIKA
11 years ago
GPLPROMOSHENI YA GAZETI LA UWAZI JIJINI DAR YAFANYIKA LEO
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Mahafali ya tatu ya shule ya awali ya Chekechea ya Ojays Kiddies Zone yafanyika jijini dar
Wahitimu wa shule ya Chekechea ya Ojays Kiddies Zone wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Mkurugenzi wa Shule ya Chekechea ya Ojays Kiddies Zone, Bi Usia Nkhoma Ledama akizungumza jambo wakati wa mahafali ya tatu ya shule hiyo.
Mwalimu Debby Ndulla(wa kwanza kushoto) akiwatambulisha walimu wa Shule ya Chekechea ya Ojays Kiddies Zone ambao ni Mwalimu Tatu(wa pili kutoka kushoto) akifuatiwa na Mwalimu Revina(katikati), Mwalimu Doroth(wa pili kutoka kulia) pamoja na Mwalimu Aika(kulia).
10 years ago
VijimamboMAHAFALI YA TATU YA SHULE YA AWALI YA CHEKECHEA YA OJAYS KIDDIES ZONE YAFANYIKA LEO JIJINI DAR
Mwalimu...