Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Droo ya kwanza ya Jaza Mafuta na Ushinde kutoka Gapco yachezeshwa jijini Dar

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (katikati) akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta kuwatafuta washindi wa promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wa mafuta katika vituo mbali mbali vya GAPCO jijini Dar es salaam kujipatia mafuta ya bure. Jumla ya Wateja 25 hupata bahati ya kuwekewa mafuta bure. Kushoto ni Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy na kulia ni Mejena Mradi wa GAPCO, Mohit Sharma.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

droo ya pili ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" kutoka GAPCO yachezeshwa leo

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya Mafuta ya GAPCO, Rashid Khalfan (kulia) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya pili ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayoendeshwa na Kampuni hiyo na kusimamiwa na Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy (kushoto). katikati ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.

 

9 years ago

Michuzi

Droo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO yafanyika jijini Dar es Salaam

Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi (katikati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya nne ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wake kujipatia lita 40 za mafuta kwa kila mshindi wa droo hiyo kila wiki. Kulia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Bakari Maggid, na kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya mafuta ya GAPCO Tanzania, Michael Chobu.

 

9 years ago

Michuzi

25 kuibuka washindi katika droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" ya GAPCO

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayoendeshwa na Kampuni hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 20 huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Droo ya tatu ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde” ya GAPCO yafanyika jijini Dar

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde” inayoendeshwa na Kampuni hiyo kwa Wateja wake wa jijini Dar es Salaam,ambapo zaidi ya wateja 25 huibuka kidedea kila wiki. Kulia anaeshuhudia ni Mkaguzi wa michezo ya kubahatisha nchini, Chiku Saleh na Kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.


 

11 years ago

Michuzi

DROO YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI YACHEZESHWA KIAINA YAKE JIJINI DAR.

  Mshindi wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili Deusdedit Kahwa akibonyeza kitufe kuchezesha droo ya tano ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti.  Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akizungumza kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya tano ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti ilyofanyika jana katika Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam. Mshindi wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili aliyepatikana wiki  iliyopita, Deusdedit Kahwa akielezea...

 

10 years ago

GPL

STARTIMES YAMKABIDHI MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA PIKIPIKI KTK DROO YA PILI‏

Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Bi Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi mshindi wa droo ya kwanza ya kujishindia pikipiki ya mwezi wa Aprili, Bw Kafuku Mdaki, mkazi wa Tanga, katika hafla fupi iliyofanyika katika duka la kampuni hiyo zilizopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kujiunga na bahati nasibu hiyo wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi kuanzia shilingi 10,000/- na kuendelea.… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wateja Gapco kupata mafuta bure

KAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za mafuta nchini, Gapco imezindua programu aminifu kuwezesha wamiliki wa magari kujipatia pointi wanunuapo mafuta ambazo zitawawezesha kupata mafuta bure kama faida. Mpango huo utawanufaisha...

 

9 years ago

Michuzi

GAPCO kutoa zawadi kabambe kwa wateja wake wa mafuta nchini

Katika kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka huu, GAPCO, kampuni inayoongoza kwa uuzaji wa mafuta, imeamua kuwapa wateja wake zawadi ya kufungia mwaka. Katika kufanikisha hilo, kupitia mpango wake wa ‘GAPCO Safari Loyalty programme ‘, kampuni imelenga kunufaisha na kuimarisha uhusiano wa kudumu na wateja wake kwa kuwapa mafuta ya bure.Mpango huu unaoenda sambamba na promosheni ya ‘Jaza Mafuta na Ushinde’, umedhamiria kutoa lita 4,000 za petroli au dizeli za bure kwa wateja 100 watakao...

 

9 years ago

Vijimambo

SKYLINK YATANGAZA WASHINDI WA DROO YAO LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

 Bw. Moustafa H. Khataw kutoka kampuni ya Skylink akiwakaribisha waandishi wa habari pamoja na wageni waliofika katika droo ya kuwapata washindi wanne leo kwa wateja wote wa Skylink ambao hununua tiketi za usafiri wa ndege kwenda katika nchi mbalimbali duniani.Bw.Husain AlSafi kutoka Emirates ambao walikuwa ni wadhamini wa shindano akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) leo katika ofisi za Skylink.
Msimamizi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini, Bw. Abdallah Hemed akizichanganya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani