Kizimbani kwa ubakaji
NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Dar es Saalam Juma Omary, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shitaka la ubakaji.
Omary (65), alisemewa shitaka hilo jana, mahakamani hapo na Mwendesha Mashitaka Faustine Sylvester mbele ya Hakimu Boniphace Lihamwike.
Sylvester alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Agosti 19, mwaka huu, muda usiofahamika, katika mtaa wa Mkunguni, Kinondoni.
Mshitakiwa alikana shitaka hilo na alirudishwa rumande, baada ya kushindwa kutimiza...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Mbasha kizimbani kwa ubakaji
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MUME WA FLORA MBASHA KIZIMBANI KWA KESI YA UBAKAJI
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-KdePnNdzi0U/U6BHSjOjmiI/AAAAAAAFrP0/_2leZsTzu6U/s72-c/1911114_507199476058710_1063991907_o.jpg)
NEWS ALERT: MUME WA FROLA MBASHA APANDISHWA KIZIMBANI kWA KESI YA UBAKAJI
![](http://4.bp.blogspot.com/-KdePnNdzi0U/U6BHSjOjmiI/AAAAAAAFrP0/_2leZsTzu6U/s1600/1911114_507199476058710_1063991907_o.jpg)
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Mchungaji afungwa kwa ubakaji
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Kikongwe mbaroni kwa ubakaji
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3vKQkh-FlonfI5tccgFjby2B0RctAMlRM*J7z70awJVWXP2IoFVbtjl8JN-Qv6Tr4UQxi6jJLTFvQ5AP0Vu-zFreG91z96cp/MESENJA.jpg?width=650)
MESENJA MATATANI KWA UBAKAJI
11 years ago
Habarileo26 Feb
Miaka 30 jela kwa ubakaji
MKAZI wa kijiji cha Kigonsera kata ya Kigonsera wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Anton Ndimbo (33) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kutokana na kupatikana na kosa la ubakaji.
11 years ago
Habarileo01 Mar
Jela miaka 30 kwa ubakaji
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Hashimu Ahamada (48) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kushitakiwa kwa kesi ya ubakaji na ushahidi kukamilika.
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
3 wahukumiwa kifo kwa ubakaji India