Mchungaji afungwa kwa ubakaji
>Kiongozi wa kanisa moja nchini Zimbabwe amehukumiwa kifungo cha miaka 40 jela kwa kosa la kuwabaka wanawake watatu na kukutwa na vifaa vya kuchochea kujamiiana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Mchungaji afungwa maisha kwa kumbaka mwanawe
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Afungwa miaka 70 kwa kulawiti
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imemhukumu kifungo cha miaka 70, Forensi Albeto (34) baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kambo mwenye...
11 years ago
Habarileo03 May
Afungwa kwa `kubambikia’ mwanamume mtoto
MAHAKAMA ya Mwanzo Old Shinyanga katika Manispaa ya Shinyanga, imemhukumu Pendo Joachim (33) mkazi wa kijiji hicho, kutumikia kifungo cha nje cha mwaka mmoja na kutakiwa kulipa faini ya Sh milioni moja.
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Afungwa miaka 8 kwa kumuoza bintiye
11 years ago
Habarileo22 Feb
Afungwa maisha kwa kumnajisi mtoto
MKAZI wa mtaa wa Nsemulwa, Athuman Mussa (54) amehukumiwa kifungo cha maisha jela na Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne mdomoni.
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
Daktari afungwa kwa ukeketaji Misri
9 years ago
BBCSwahili16 Oct
Jenerali afungwa kwa kushindwa na Boko Haram
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Afungwa siku thelathini kwa kulamba 'Ice Cream'
10 years ago
Habarileo20 Dec
Mtanzania afungwa maisha Australia kwa kuua wanawe
MTANZANIA Charles Mihayo (36), ambaye amechukua uraia wa Australia, amehukumiwa kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kuua watoto wake wawili wa kike Aprili mwaka huu.