Mchungaji afungwa maisha kwa kumbaka mwanawe
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemuhukumu kifungo cha maisha jela Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Athanas Ngomai (30), baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wake mwenye umri wa miaka 15.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Sep
Mbaroni kwa kumbaka mwanawe
MKAZI wa Mtaa wa Lizaboni katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Abdallah Bakari (43) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumwingilia kimapenzi mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 11.
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Mchungaji afungwa kwa ubakaji
10 years ago
Habarileo23 Feb
Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka mitano
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha maisha Kashindje Shija (50), baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitano.
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa dada yao
11 years ago
Habarileo22 Feb
Afungwa maisha kwa kumnajisi mtoto
MKAZI wa mtaa wa Nsemulwa, Athuman Mussa (54) amehukumiwa kifungo cha maisha jela na Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne mdomoni.
10 years ago
Habarileo20 Dec
Mtanzania afungwa maisha Australia kwa kuua wanawe
MTANZANIA Charles Mihayo (36), ambaye amechukua uraia wa Australia, amehukumiwa kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kuua watoto wake wawili wa kike Aprili mwaka huu.
10 years ago
Habarileo11 Apr
Ushirikina wa kumbaka mtoto wamtupa jela maisha
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Shinyanga imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa mtaa wa Kitangili katika manispaa ya Shinyanga baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumpa ujauzito mtoto wake wa kambo, mwanafunzi wa darasa la tatu.
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Kiongozi wa Brotherhood afungwa maisha
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Dereva wa teksi ya Uber afungwa maisha