Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto awa mfungwa nyumbani kwao

Mtoto mdogo wa miaka mitano afungiwa chumba cha chini nyumbani kwao,aachwa afe njaa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mfungwa aliyeachiliwa huru ameshindwa kurejea nyumbani

Arif (ambaye sio jina lake halisi) alipoachiliwa huru kutoka gerezani magharibi mwa India machi 31, alikuwa na hamu sana ya kurejea nyumbani.

 

10 years ago

GPL

WAZAZI WAMTAKA WOLPER AKAISHI NYUMBANI KWAO

Waandishi wetu
MTU kwao! Licha ya kuwa staa wa muvi za Bongo, mwigizaji kiwango, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuitwa na wazazi wake kwenda kuishi nyumbani kwao, Kibaha mkoani Pwani ili kuepukana na skendo za kila mara za mjini. Staa wa muvi za Bongo, mwigizaji kiwango, Jacqueline Wolper Massawe. Kwa mujibu wa chanzo, Wolper amewekewa msimamo huo na wazazi wake, hususan mama yake mzazi aliyemwambia kwa kuwa ana usafiri...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: JB Akiwa Nyumbani Kwao kwa Mzee Wake

Leo ikiwa ni siku ya Ijumaa kuu, Staa mkubwa kabisa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ame-share nasi picha hizi akiwa nyumbani kabisa  kwa mzee wake.

Katika maelezo yake JB amesema kuwa siku kama ya leo huwa wanautaratibu kama familia kwenda kanisani pamoja.

“Leo niko nyumbani kwa mzee, Ijumaa ya pasaka tuna utaratibu wa kwenda kanisani wote” JB aliandika mara baada ya kubandika picha huyo hap juu akiwa na mzee wake.

Picha huyo nyingine JB alieleza kuwa huyo ni mdogo wao wa mwisho...

 

9 years ago

Bongo Movies

Hivi Ndivyo Lulu Alivyosherekea Krismasi Nyumbani Kwao Kilimanjaro

lulu33

“Proudly Chagga❤️❤️❤️”-By Lulu on Insta

Staaa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ilimbidi afunge safari hadi mkoni Kilimanjaro kwenye kula siku kuu ya Krismasi mwaka huu.
Akiwa yeye pamoja na wazazi wake wote wawili Lulu ameshare nasi picha hizi kupitia ukurasa wake mtandaoni.
“Niko Na Baba Mkweeee🙆ooopssss I mean Baba Angu😁🏃hadi vidole sikuhizi havina mfupa”- Lulu aliandika kiutani kwenye picha hiyo hapo chini akiwa na baba yake.

“Niko Na Baba Mkweeee🙆ooopssss I mean Baba Angu😁🏃hadi vidole sikuhizi havina mfupa-L

“Niko Na Baba Mkweeee🙆ooopssss I mean Baba Angu😁🏃hadi...

 

10 years ago

Michuzi

UP DATES: MSIBA WA BANZA STONE NYUMBANI KWAO SINZA JIJINI DAR

 Baadhi ya ndugu na jamaa wa Marehemu Ramadhan Massanja "Banza Stone" wakijadiliana jambo mchana huu, nyumbani kwao Sinza Lion, Jijini Dar es salaam.
Mawasiliano yakiendelea kupeana taarifa na ndugu wengine.

 

10 years ago

Vijimambo

Mr and Mrs Gibacha walivyosheherekea Xmass nyumbani kwao Virginia na wageni wao.

 Bwana na Bibi Gibacha wakiwa na wageni wao siku ya Krismai nyumbani kwao Virginia walipokuwa wakisherehekea siku hiyo katika picha Bi Gibacha akiwa katikati akipata picha ya kumbukumbu na wageni wake Wageni wa Bwana na Bibi Gibacha wakiwa katika picha ya pamoja Wageni wa Gibacha wakiwa mezani tayari kwa chakulaWageni wakipata picha ya pamoja.kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

FAMILIA YA AMEIR YAJUMUIKA NA MARAFIKI NYUMBANI KWAO KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

Seif Ameir (kati) akiwa na marafiki zake aliowaalika nyumbani kwake Greenbelt, Maryland katika kusherehekea sikukuu ya Eid mosi ambayo nchini Marekani na Uarabuni imeadhimishwa siku ya Ijumaa July 17, 2015.Wengine katika picha ni Abdul na Ramadhan (kulia).Kushoto ni Nargis, mama mwenye nyumba wa Seif Ameir akiangalia kitu kwenye simu wakiwa na Missy T.Seif Ameir na mwanae wakiwa na mgeni wao Abdul wakipata menyu.Nargis katika picha ya pamoja na Sophia Mombasa.Kwa picha zaidi bofya soma zzaidi

 

5 years ago

BBCSwahili

Mbwana Samatta: Je mashabiki wake walio nyumbani kwao huko Mbagala wanasemaje?

Baada ya kujiunga na klabu ya Aston Villa ya Uingereza kutoka klabu ya Genk, nahodha wa taifa Stars amepata umaarufu mkubwa sio tu nchini Tanzania bali hata Afrika mashariki.

 

10 years ago

Bongo Movies

FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.

Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.

Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema –...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani