Hivi Ndivyo Lulu Alivyosherekea Krismasi Nyumbani Kwao Kilimanjaro
“Proudly Chagga❤️❤️❤️”-By Lulu on Insta
Staaa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ilimbidi afunge safari hadi mkoni Kilimanjaro kwenye kula siku kuu ya Krismasi mwaka huu.
Akiwa yeye pamoja na wazazi wake wote wawili Lulu ameshare nasi picha hizi kupitia ukurasa wake mtandaoni.
“Niko Na Baba Mkweeeeooopssss I mean Baba Angu
hadi vidole sikuhizi havina mfupa”- Lulu aliandika kiutani kwenye picha hiyo hapo chini akiwa na baba yake.

“Niko Na Baba Mkweeeeooopssss I mean Baba Angu
hadi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 May
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Hivi ndivyo 'Panya Road' wanavyonza
11 years ago
GPL
HIVI NDIVYO GLOBAL TV ONLINE ILIVYOZINDULIWA
10 years ago
GPL
HIVI NDIVYO WAZIRI ALIVYOZUA TIMBWILI
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Utekaji wa ndege Ethiopia; hivi ndivyo ilivyokuwa
10 years ago
GPL
HIVI NDIVYO MUME ALIVYOMCHINJA MKEWE HOTELINI
10 years ago
VijimamboHIVI NDIVYO TOHARA ZA KABILA LA KIKURYA ZINAVYOFANYIKA
10 years ago
Bongo529 Sep
Hivi ndivyo Wahyda anavyompenda mumewe Mr. Blue