Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI NDIVYO GLOBAL TV ONLINE ILIVYOZINDULIWA

Uzinduzi wa Global TV Online uliofanyika Aprili 16, 2014 ndani ya ofisi za Kampuni ya Global Publishers Ltd na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali. Kwa matukio mbalimbali ya Global TV Online, Ingia  …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hivi ndivyo 'Panya Road' wanavyonza

Hofu  ya uvamizi wa kundi la Panya Road kwa mara nyingine iliwakumba wakazi wa Tabata Machi 10 na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.

 

9 years ago

GPL

HIVI NDIVYO WAZIRI ALIVYOZUA TIMBWILI

KUFUATIA tukio la Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani juzikati kugeuka ‘bondia’ kwa ‘kumwanzishia’ timbwili msimamizi wa uchaguzi wa marudio wa kura za maoni ya ubunge kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Busega, Simiyu na kusababisha matokeo yasitangazwe, wadau wameibuka na kusema yote hayo ni machungu ya kukatwa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1Mzdawt ...

 

10 years ago

Mwananchi

Hivi ndivyo ‘wazee’ wanavyopatikana mikutano na Rais

>Swali ambalo limekuwa likiulizwa kila mara Rais anapozungumza na Taifa kupitia wazee ama wa Dar es Salaam au Dodoma la jinsi gani wazee hao wanapatikana sasa limepata jibu.

 

9 years ago

GPL

HIVI NDIVYO HELIKOPTA ILIVYOMUUA SHUJAA FILIKUNJOMBE

Polisi na wananchi wakiwa eneo la tukio  baada ya Chopa kuteketea kwa moto. AJALI ya chopa (helikopta) iliyotokea usiku wa kuamkia jana, Oktoba 16, 2015 katika Hifadhi ya Selous, eneo la Msolwa mkoani Morogoro, imeyakatisha maisha ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo la ludewa, Mhe. Deo Filikunjombe (43), pamoja na watu wengine watatu waliokuwa ndani ya helikopta hiyo. Deo Filikunjombe. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na...

 

10 years ago

GPL

HIVI NDIVYO MUME ALIVYOMCHINJA MKEWE HOTELINI

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa/Uwazi
HUU ni ukatili namba moja kwa wanandoa duniani! Bado picha haijatoka kichwani kwa wakazi wa Manzese jijini Dar kufuatia kifo cha kuchinjwa cha  Josephine Ndengaleo Mushi kinachodaiwa kufanywa na mume wake wa ndoa, Remy Joseph (35). Remy Joseph (35) anayetuhumiwa kumuua mke wake, Josephine Ndengaleo Mushi. Tukio hilo la kutisha kusimuliwa achilia mbali kuona, lilijiri saa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani