HIVI NDIVYO HELIKOPTA ILIVYOMUUA SHUJAA FILIKUNJOMBE
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/12107262_10203566066031418_6703966378237878945_n.jpg)
Polisi na wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya Chopa kuteketea kwa moto. AJALI ya chopa (helikopta) iliyotokea usiku wa kuamkia jana, Oktoba 16, 2015 katika Hifadhi ya Selous, eneo la Msolwa mkoani Morogoro, imeyakatisha maisha ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo la ludewa, Mhe. Deo Filikunjombe (43), pamoja na watu wengine watatu waliokuwa ndani ya helikopta hiyo. Deo Filikunjombe. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 May
9 years ago
Habarileo20 Oct
Helikopta iliyomuua Filikunjombe ni ya Kalonzo
HELIKOPTA iliyoanguka na kusababisha vifo vya watu wanne akiwamo mgombea ubunge wa jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe na rubani wake, Kapteni William Silaa, ilikuwa mali ya Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Kalonzo Musyoka.
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Filikunjombe, rubani makada CCM wafa katika ajali ya helikopta
9 years ago
Bongo516 Oct
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hHcdjIXgeXA/ViKrWiTW5wI/AAAAAAAIAnw/LHBWlrefWgs/s72-c/_MG_6798.jpg)
DKT MAGUFULI ASHIRIKI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WAWILI WALIOFARIKA KATIKA AJALI YA HELIKOPTA..
![](http://1.bp.blogspot.com/-hHcdjIXgeXA/ViKrWiTW5wI/AAAAAAAIAnw/LHBWlrefWgs/s640/_MG_6798.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-o5ZUNtvRiHk/ViKrWIFveYI/AAAAAAAIAns/aP_b98nlW2A/s640/_MG_6803.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Z-Oke7Rsxlw/ViKrMN5liWI/AAAAAAAIAnE/3x8hNJ1656s/s640/_MG_6610.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-mm8QY3YavJs/ViI2BIj1vkI/AAAAAAABKFA/8hPhMaANER4/s72-c/AS%2B1.jpg)
RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WAWILI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELIKOPTA
![](http://4.bp.blogspot.com/-mm8QY3YavJs/ViI2BIj1vkI/AAAAAAABKFA/8hPhMaANER4/s640/AS%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0aROwNFl69w/ViI2BDRZS6I/AAAAAAABKFI/rWSh4AN71yQ/s640/AS%2B2.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mke wa Marehemu Bi Sarah Filikunjombe wakati wa kuaga mwili wa marehemu...
9 years ago
Dewji Blog18 Oct
Dkt. Magufuli ashiriki kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya Helikopta
![](http://1.bp.blogspot.com/-hHcdjIXgeXA/ViKrWiTW5wI/AAAAAAAIAnw/LHBWlrefWgs/s640/_MG_6798.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-o5ZUNtvRiHk/ViKrWIFveYI/AAAAAAAIAns/aP_b98nlW2A/s640/_MG_6803.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Z-Oke7Rsxlw/ViKrMN5liWI/AAAAAAAIAnE/3x8hNJ1656s/s640/_MG_6610.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/6YYgylydxgc/default.jpg)
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Hivi ndivyo 'Panya Road' wanavyonza