Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Helikopta iliyomuua Filikunjombe ni ya Kalonzo

HELIKOPTA iliyoanguka na kusababisha vifo vya watu wanne akiwamo mgombea ubunge wa jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe na rubani wake, Kapteni William Silaa, ilikuwa mali ya Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Kalonzo Musyoka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

HIVI NDIVYO HELIKOPTA ILIVYOMUUA SHUJAA FILIKUNJOMBE

Polisi na wananchi wakiwa eneo la tukio  baada ya Chopa kuteketea kwa moto. AJALI ya chopa (helikopta) iliyotokea usiku wa kuamkia jana, Oktoba 16, 2015 katika Hifadhi ya Selous, eneo la Msolwa mkoani Morogoro, imeyakatisha maisha ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo la ludewa, Mhe. Deo Filikunjombe (43), pamoja na watu wengine watatu waliokuwa ndani ya helikopta hiyo. Deo Filikunjombe. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na...

 

9 years ago

Mwananchi

Filikunjombe, rubani makada CCM wafa katika ajali ya helikopta

Mgombea ubunge jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Deogratius Filikunjombe, rubani na abiria wengine wote wamekufa baada ya helkopta kuanguka na kuteketea katika hifadhi Selou.

 

9 years ago

Bongo5

Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha

Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akiitumia kwaajili ya kampeni kupata ajali. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ambaye pia amempoteza baba yake kwenye ajali hiyo. “Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la […]

 

9 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI ASHIRIKI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WAWILI WALIOFARIKA KATIKA AJALI YA HELIKOPTA..

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli  akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.PICHA NA MICHUZI JR.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WAWILI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELIKOPTA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgombea Urais wa tiketi ya CCM Dkt.John Pimbe Magufuli wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mke wa Marehemu Bi Sarah Filikunjombe wakati wa kuaga mwili wa marehemu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli ashiriki kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya Helikopta

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli  akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.PICHA NA MICHUZI JR. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha...

 

11 years ago

TheCitizen

Kalonzo says that opposition leadership doing its job right

>The Coalition for Reforms and Democracy has defended itself against accusations of poor leadership in Parliament and in the Senate.

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Crash of Kalonzo's Plane Under Probe


Crash of Kalonzo's Plane Under Probe
AllAfrica.com
Tanzania has launched investigations into a helicopter crash that killed a ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) parliamentary candidate on Thursday. The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) is also investigating reports that the helicopter belonging to ...

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Kalonzo's Chopper Crashes in Tanzania


Kalonzo's Chopper Crashes in Tanzania
AllAfrica.com
The Eurocopter that crashed in Tanzania last week killing four occupants, including the captain and a general election candidate, belongs to former Vice President Kalonzo Musyoka. The Eurocopter AS 350B3 Ecureuil's Registration Number is ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani