Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hivi ndivyo Wahyda anavyompenda mumewe Mr. Blue

Mke wa rapper Mr. Blue, Wahyda ameelezea jinsi hitmaker huyo wa Pesa alivyobadilisha maisha yake kwa kujaza furaha ndani ya familia yake. “Baba wawili, baba watoto wangu, uko tofauti sana wacha nikupende daddy ur care & love ts undefine,” ameandika Wahyda kwenye Instagram. “Unanipenda nikiwa mzima unanipenda zaid nikiumwa..unanipenda kwenye raha unanipenda na kunijar zaid […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

HIVI NDIVYO WAZIRI ALIVYOZUA TIMBWILI

KUFUATIA tukio la Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani juzikati kugeuka ‘bondia’ kwa ‘kumwanzishia’ timbwili msimamizi wa uchaguzi wa marudio wa kura za maoni ya ubunge kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Busega, Simiyu na kusababisha matokeo yasitangazwe, wadau wameibuka na kusema yote hayo ni machungu ya kukatwa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1Mzdawt ...

 

10 years ago

Mwananchi

Hivi ndivyo 'Panya Road' wanavyonza

Hofu  ya uvamizi wa kundi la Panya Road kwa mara nyingine iliwakumba wakazi wa Tabata Machi 10 na kusababisha shughuli mbalimbali kusimama.

 

11 years ago

GPL

HIVI NDIVYO GLOBAL TV ONLINE ILIVYOZINDULIWA

Uzinduzi wa Global TV Online uliofanyika Aprili 16, 2014 ndani ya ofisi za Kampuni ya Global Publishers Ltd na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali. Kwa matukio mbalimbali ya Global TV Online, Ingia  …

 

11 years ago

Mwananchi

Utekaji wa ndege Ethiopia; hivi ndivyo ilivyokuwa

>Msaidizi wa rubani wa ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia, Halimedhin Abera, ndiye aliyebainika kuteka moja ya ndege za shirika hilo hivi karibuni.

 

9 years ago

GPL

HIVI NDIVYO HELIKOPTA ILIVYOMUUA SHUJAA FILIKUNJOMBE

Polisi na wananchi wakiwa eneo la tukio  baada ya Chopa kuteketea kwa moto. AJALI ya chopa (helikopta) iliyotokea usiku wa kuamkia jana, Oktoba 16, 2015 katika Hifadhi ya Selous, eneo la Msolwa mkoani Morogoro, imeyakatisha maisha ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo la ludewa, Mhe. Deo Filikunjombe (43), pamoja na watu wengine watatu waliokuwa ndani ya helikopta hiyo. Deo Filikunjombe. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani