Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAMILIA YA AMEIR YAJUMUIKA NA MARAFIKI NYUMBANI KWAO KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

Seif Ameir (kati) akiwa na marafiki zake aliowaalika nyumbani kwake Greenbelt, Maryland katika kusherehekea sikukuu ya Eid mosi ambayo nchini Marekani na Uarabuni imeadhimishwa siku ya Ijumaa July 17, 2015.Wengine katika picha ni Abdul na Ramadhan (kulia).Kushoto ni Nargis, mama mwenye nyumba wa Seif Ameir akiangalia kitu kwenye simu wakiwa na Missy T.Seif Ameir na mwanae wakiwa na mgeni wao Abdul wakipata menyu.Nargis katika picha ya pamoja na Sophia Mombasa.Kwa picha zaidi bofya soma zzaidi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI katika kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr

downloadTunaelekekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr na ambapo wananchi wenye imani ya kiislam na hata madhehebu mengine hutumia muda huo kwenda kuabudu pamoja na muendelezo wa sherehe hizo kwenye maeneo mbalimbali ya starehe, Jeshi la Polisi nchini linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.
Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwaondoa hofu wananchi kuwa,...

 

10 years ago

Vijimambo

MISSY T ALIVYOTOKELEZEA NA KUSHEREHEKEA EID KWENYE DICOTA 2014 DURHAM, NC

Missy Temeke (kati)akipata picha ya pamoja na Balozi wa kudimu wa Africn Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali pamoja na msaidizi wake mara baada ya Missy T kurejea kuswali sala ya Eid siku ya Jumamosi )ct 4, 2014 Durham North Carolina nchini Marekani.Missy T katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. Iddi Sandaly mara tu baada yaa sala ya Eid iliyofanyika asubuhi ya Oct 4, 2014 mjini Durham, North Carolina. Missy T katika picha ya pamja na wawakilishi wa Global...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waumini wa dini ya Kiislamu mkoa wa Singida, waungana na wenzao kusherehekea siku kuu ya Eid El-Fitr

DSC00310

Sheikh wa mkoa wa Singida na Meya Mstahiki wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akitoa mawaidha yake kwenye kilele cha Siku kuu ya Eid El-Fitr kilichofanyika kwenye uwanja wa Namfua leo. Pamoja na mambo mengine, Sheikh Mahami amekisihi kikundi cha Ukawa kurudi Bungeni, ili waweze kuwapatia Watanzania Katiba itakayokidhi mahitaji ya zaidi ya miaka 50 ijayo.

DSC00317

Imamu wa msikiti wa Utemini, Jumanne Maghasi, akisoma dua kwenye kilele cha maadhimisho ya siku kuu ya Eid...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waislamu washerehekea sikukuu ya Eid

Waumini wa dini ya Kiislamu wameadhimisha siku ya Eid al-Adha kwa kuungana na jamaa ndugu na marafiki katika ibada.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA TOKYO JAPAN WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid iliyofanyika siku ya Jumamosi July 18, 2015 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid. Picha na Mariam, Mwakilishi wa Vijimambo Japan. Mariam kulia akipata ukodak moment na mwenzie.Watanzania wa Japan wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya Eid MosiKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Mwananchi

Waislamu washerehekea Sikukuu ya Eid el Fitr leo

>Waislamu  nchini leo wanajumuika na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitr baada ya jana kumaliza mfungo wa mwezi  mtukufu wa Ramadhani.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUELEKEA SIKUKUU YA EID-EL-FITR

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini.
Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani