MISSY T ALIVYOTOKELEZEA NA KUSHEREHEKEA EID KWENYE DICOTA 2014 DURHAM, NC
Missy Temeke (kati)akipata picha ya pamoja na Balozi wa kudimu wa Africn Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali pamoja na msaidizi wake mara baada ya Missy T kurejea kuswali sala ya Eid siku ya Jumamosi )ct 4, 2014 Durham North Carolina nchini Marekani.
Missy T katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. Iddi Sandaly mara tu baada yaa sala ya Eid iliyofanyika asubuhi ya Oct 4, 2014 mjini Durham, North Carolina.
Missy T katika picha ya pamja na wawakilishi wa Global...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDICOTA 2014 DURHAM CONVENTION
Kofi Anani ambaye ni senior operations Officer, Africa Diaspora Investment fund, World Bank akiotoa mada kuhusiana na maswala hayo kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Jumamosi Oct 4, 2014 ambao ndio ulikua mkutano wa mwisho na baada ya jioni kulikua na nyama choma.
10 years ago
VijimamboDICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA
Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utaonza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji wa Durham jimbo la North Carolina mkutano utamalizika siku ya Jumapili Oct 5, 2014 kwenye picha kushoto ni mpiga picha za kiwango na maarufu kutoka DMV Bi Iska Jojo na makamu wa rais DMV Bi, Harriet Shangarai wakielekea vyumbani baada ya kuwasili kwenye hotel ya Millennium muda si mrefu na kukutana na ukodak wa Vijimambo ambao utakuwepo kwenye mkutano huo...
10 years ago
Vijimambo02 Oct
Welcome to DICOTA 2014 Convention in Durham North Carolina
Dear All
Welcome to Durham: Getting Around the City
Arrival: If you’re arriving via RDU Airport, there are several options that will take you to the Millennium Durham Hotel.
1. The dedicated DICOTA Logistic Team will be at their airport. Contact Mr. Saburi Mtarazaki at 919 423 0657 or Mr. Tony Ntirugelegwa at 919 599 7459 and their team, they will give you a ride to the hotel (as part of your convention registration fee- you don’t need to pay for...
10 years ago
GPLDICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA DICOTA WAFUNGULIWA RASMI MJINI DURHAM
10 years ago
MichuziBALOZI SEFUE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA DICOTA MJINI DURHAM, MAREKANI
10 years ago
MichuziBALOZI SEFUE KUFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA DICOTA MJINI DURHAM, MAREKANI
10 years ago
VijimamboDICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA
Katika makabidhiano hayo yaliyo ambayo yalikua ni maelezo ya viongozi wa DICOTA na maoni ya wahudhuriaji wa mkutano huo wa kongamono wa ndani na nje ya Marekani ikiwemo DVD 2 ya...
10 years ago
GPLDICOTA WAMKABIDHI BALOZI LIBERATA MULAMULA RIPOTI YAO YA DICOTA CONVENTION 2014 ILIYOFANYIKA NORTH CAROLINA