BALOZI SEFUE KUFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA DICOTA MJINI DURHAM, MAREKANI
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula na Viongozi wa Baraza la Watanzania waishio Marekani (DICOTA) (hawapo pichani) mara baada ya kukutana nao Hotelini kwake kwa ajili ya kupata taarifa za maandalizi ya Mkutano wa Mwaka wa Baraza hilo atakaoufungua leo tarehe 03 Oktoba, 2014 mjini Durham, North Carolina.
Balozi Mulamula, Viongozi wa DICOTA pamoja na Maafisa kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani wakimsikiliza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBALOZI SEFUE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA DICOTA MJINI DURHAM, MAREKANI
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA DICOTA WAFUNGULIWA RASMI MJINI DURHAM
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkLEPVQ6s9dmK35JT9Op0jsaCrmTPlN8NRTjrxbcnfZI9hFjXvaV7TE76l0KpWzGJ6rI0ziUeRd21t0gzwXBT0d1jrN7HtPY/PICHAYAMKUTANOWATAKWIMU.jpg?width=650)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zIw95QuMuGk/VE5hKBoj_9I/AAAAAAAGtqw/RZXY3Pf-glI/s72-c/unnamed%2B(47).jpg)
BALOZI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA ,MJINI DODOMA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-zIw95QuMuGk/VE5hKBoj_9I/AAAAAAAGtqw/RZXY3Pf-glI/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ePfuZMOtRgU/VE5hMObGuPI/AAAAAAAGtq4/pCPj-zXEvQI/s1600/unnamed%2B(44).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ubw6j0Cgo_E/VE5hMSnljVI/AAAAAAAGtq8/uRoo1-WuTR0/s1600/unnamed%2B(45).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-GRhTpjSq4IU/VE5hMg87HKI/AAAAAAAGtrA/9kWrn9FphdA/s1600/unnamed%2B(46).jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Balozi Sefue afungua mkutano wa mwaka wa makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu leo mjini Dodoma
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.”
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yH5rTfyjFA8/Va-A_XtUkII/AAAAAAAHrA0/Vdfh-sdz7hg/s640/2.jpg)
10 years ago
VijimamboDICOTA 2014 DURHAM CONVENTION
Kofi Anani ambaye ni senior operations Officer, Africa Diaspora Investment fund, World Bank akiotoa mada kuhusiana na maswala hayo kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Jumamosi Oct 4, 2014 ambao ndio ulikua mkutano wa mwisho na baada ya jioni kulikua na nyama choma.
10 years ago
VijimamboDICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA
Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utaonza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji wa Durham jimbo la North Carolina mkutano utamalizika siku ya Jumapili Oct 5, 2014 kwenye picha kushoto ni mpiga picha za kiwango na maarufu kutoka DMV Bi Iska Jojo na makamu wa rais DMV Bi, Harriet Shangarai wakielekea vyumbani baada ya kuwasili kwenye hotel ya Millennium muda si mrefu na kukutana na ukodak wa Vijimambo ambao utakuwepo kwenye mkutano huo...
10 years ago
Vijimambo02 Oct
Welcome to DICOTA 2014 Convention in Durham North Carolina
Dear All
Welcome to Durham: Getting Around the City
Arrival: If you’re arriving via RDU Airport, there are several options that will take you to the Millennium Durham Hotel.
1. The dedicated DICOTA Logistic Team will be at their airport. Contact Mr. Saburi Mtarazaki at 919 423 0657 or Mr. Tony Ntirugelegwa at 919 599 7459 and their team, they will give you a ride to the hotel (as part of your convention registration fee- you don’t need to pay for...