KIMLOLA A. KIMLOLA "NELLY AFUNGA NDOA NA SCHOLASTICA L. LAZARO
Bwana na Bibi Kimlola wakiingia ukumbini yaani ilikuwa ni Furaha kwa kwenda mbele.
Bwana na Bibi Kimlola wakiwasalimia ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye ukumbi huo wakati wa sherehe yaoiliyofanyika jana Jumapili Oktoba 04, 2015.
Bwana na Bibi Kimlola wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya maandalizi ya Harusi hiyo.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Mnuso wa Kimlola A. Kimlola “Nelly na Scholastica L. Lazaro wafana jijini Dar
![DSC_0038](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/DSC_0038.jpg)
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Kimlola:Kanumba Aliondoka na Nyota Yangu, Maombi Yameniokoa!
Mwigizaji wa filamu,Emmanuel Kimlola ‘Kimlola Kimlola’ ametamba kwa kusema kuwa maombi ya kazi zake katika uigizaji yamejibu kwani toka aokoke kila kitu akifanya kazi inajibu tofauti na siku zilizopita ilikuwa ngumu hata kupata kazi ya filamu na kushiriki hata sehemu ndogo, pengine watu walimsahau baada ya kifo cha Kanumba.
“Nilipatwa na hofu nikitaka kuamini kuwa labda swahiba yangu Marehemu Kanumba kaondoka na nyota yangu na hilo lilitokana na ukaribu na marehemu kwani ilikuwa kila akitoa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi1wp8RDvDZg-3B5d8cu*v5KgvEw8JExj50NuRGX3VyRnBvT*AyF7TRAVTqO7XV6QxB3mBn85sN0jgqr-mbqBgit/Nasari2.jpg?width=534)
NASSARI AFUNGA NDOA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WRH9ovbTZmBjiN6lZQ2DO3-STCmCaNVfb1dWveORsO4CwzpaG86JwYV4XMTbx59yvXgPQmR9aubfZEWtn2wpp9okOb-a7q7Z/IMG20140531WA0036.jpg?width=650)
MWAIKIMBA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3RAyhtLNPWahzVBr21pDUC0b1Wh98RChauKq-0xPFjC*DDvCh8VkptspbgnfYCrSaQXC3baGKe0Qua*Dt1rjl1H/kiria.jpg?width=650)
MTALAKA WA KIRIA AFUNGA NDOA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG-nIQLmsjQ-2hWgCeSz-QwJX70NMd7k*Nq1fg9qNJfdHsf4MilUXcy5CHbyeZLZr0V0wXsiF9mphHn65uAtPTi2/BACKAMANI.jpg?width=650)
BI HARUSI AFUNGA NDOA, ATOROKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVWfuPLmPpO769G1nApWatyd00ZK-S0TKiUCNrxuaH-MW616jkNAlRjIVbfH5QdqwLH8Sl2hYePEis*OAUdAaFur/pfunk.jpg?width=650)
P FUNK AFUNGA NDOA YA SIRI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOZmrUboAIsGCcjsWmIKQLv6Ph5K7QKloy0LblbmItzBck0WLEZkWNnd8RI3S8Oort3rxqA1HvASdTTX238dgx54/aki.jpg?width=650)
AKI WA BONGO MUVI AFUNGA NDOA
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Usher afunga ndoa na meneja wake
NEW YORK, MAREKANI
MKALI wa RnB nchini Marekani, Usher Raymond, amefanikiwa kufunga ndoa na mpenzi wake, Grace Miguel.
Grace ni Meneja wa msanii huyo, ambapo walianza uhusiano wa kimapenzi tangu mwaka 2009 baada ya msanii huyu kubwagana na mpenzi wake, Tameka Foster, mwaka huo.
Tameka alifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume na msanii huyo ambao wanajulikana kwa majina ya Usher V na Naviyd Ely.
“Alikuwa meneja wangu kwa kipindi kirefu, lakini kwa sasa naweza kusema kuwa ni mke wangu,...