Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnuso wa Kimlola A. Kimlola “Nelly na Scholastica L. Lazaro wafana jijini Dar

 

Bwana na Bibi Kimlola wakiingia ukumbini yaani ilikuwa ni furaha kwa kwenda mbele.

Bwana na Bibi Kimlola wakiwasalimia ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye ukumbi huo wakati wa sherehe yaoiliyofanyika juzi Jumapili Oktoba 04, 2015. DSC_0038 Wasimamizi watoto wakiingia ukumbini. Bwana na Bibi Kimlola wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya maandalizi ya Harusi hiyo.
Bwana na Bibi Kimlola wakinyweshana Shampeni. Bwana na Bibi Kimlola wakikata keki Bwana na Bibi Kimlola...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KIMLOLA A. KIMLOLA "NELLY AFUNGA NDOA NA SCHOLASTICA L. LAZARO

Bwana na Bibi Kimlola wakiingia ukumbini yaani ilikuwa ni Furaha kwa kwenda mbele. Bwana na Bibi Kimlola wakiwasalimia ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye ukumbi huo wakati wa sherehe yaoiliyofanyika jana Jumapili Oktoba 04, 2015. Bwana na Bibi Kimlola wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya maandalizi ya Harusi hiyo.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mnuso wa Birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa wafana jijini Dar #UN70

IMG_8050

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipokea wageni nyumbani kwake kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa jijini Dar.

IMG_8060

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (katikati) akimtambulisha mmoja wa wageni waalikwa kwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Awa Dabo (kushoto).

IMG_8109

Mwakilishi Mkazi wa Shirika...

 

10 years ago

Michuzi

MNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR

DSC_0354Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins kabla ya zoezi la kuwasha mishuma 70 kwenye cake hiyo ikiwa ni uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Kushoto ni Mshehereshaji wa sherehe hizo Afisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma...

 

10 years ago

GPL

MNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR‏

Keki maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam. Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kimlola:Kanumba Aliondoka na Nyota Yangu, Maombi Yameniokoa!

Mwigizaji wa filamu,Emmanuel Kimlola ‘Kimlola Kimlola’ ametamba kwa kusema kuwa maombi ya kazi zake katika uigizaji yamejibu kwani toka aokoke kila kitu akifanya kazi inajibu tofauti na siku zilizopita ilikuwa ngumu hata kupata kazi ya filamu na kushiriki hata sehemu ndogo, pengine watu walimsahau baada ya kifo cha Kanumba.

“Nilipatwa na hofu nikitaka kuamini kuwa labda swahiba yangu Marehemu Kanumba kaondoka na nyota yangu na hilo lilitokana na ukaribu na marehemu kwani ilikuwa kila akitoa...

 

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI SIKU YA MSANII WAFANA SANA JIJINI DAR

KAMPUNI ya Haak Neel Production kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), imezindua rasmi Siku ya Msanii Tanzania itakayoenda sambamba na utoaji tuzo kwa kwa wasanii na wadau wanaotoa mchango katika sanaa ili kuenzi, kuhamasisha, kukuza na kuendeleza vipaji vyao.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika Jumamosi usiku katika Hoteli ya Sea Cliff, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukanagara, alisema Siku ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mnuso wa uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa wafana ndani ya hoteli ya White Sands

IMG_0253

DSC_0351

Cake maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.

DSC_0354

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins kabla ya zoezi la kuwasha mishuma 70 kwenye cake hiyo...

 

9 years ago

CCM Blog

MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA NA VIONGOZI WAKE WAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Wiliam Lukuvi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, akihutubia kwenye Mkesha Mkubwa Kitaifa,Dua Maalum ya kuwaombea viongozi na Taifa uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
 Mchungaji Eden Godfrey akihubiri kwenye Mkesha Mkubwa Kitaifa, Dua maalum uliofanyika kwenye uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.

 Viongozi wakiwa wameshikana mikono wakati wa maombi maalum kwa Taifa na Viongozi...

 

10 years ago

Vijimambo

TEAM MICHUZI PRODUCTION YAREKODI KWA WELEDI WA HALI YA JUU MNUSO WA TANZANIA BLOGGERS PARTY SERENA HOTEL JIJINI DAR ES SALAAM

Ankal akiwa na MD wa Michuzi Media Group (kulia kwake) pamoja na kikosi kazi cha Team Michuzi Production chini ya Production Manager Barbra Kilugira (wa tatu kushoto) ambayo ilipata heshima ya kurekodi mnuso wa kihistoria wa Tanzania Bloggers Network (TBN) Meet and greet Party katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia March 1, 2015. Mnuso huu ulifanikiwa sana kwa udhamini mkubwa wa VODACOM TANZANIA (wadhaini wakuu), NMB, COCACOLA, RAHA.COM na SERENA HOTEL. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani