Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI SIKU YA MSANII WAFANA SANA JIJINI DAR

KAMPUNI ya Haak Neel Production kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), imezindua rasmi Siku ya Msanii Tanzania itakayoenda sambamba na utoaji tuzo kwa kwa wasanii na wadau wanaotoa mchango katika sanaa ili kuenzi, kuhamasisha, kukuza na kuendeleza vipaji vyao.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika Jumamosi usiku katika Hoteli ya Sea Cliff, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukanagara, alisema Siku ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIKU YA MSANII MLIMANI CITY WAFANA SANA USIKU HUU

Mgeni rasmi katika Siku ya Msanii Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongea jambo katika siku ya Msanii Mlimani city.…

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA KAMPUNI MPYA YA QUALITY SERVICE AND CATERING WAFANA SANA

1Mwasibu wa Kampuni ya Nivanaa Quality service and catering, Bi.Magreth Tairo akizungumza wakati wa kuzindua kampuni hiyo,kwenye kiota cha  City Louge jijini Dar es salaam.Kampuni hiyo inajishugusha na upikaji wa vyakula katika sherehe mbalimbali yenye makao yake makuu Kinondoni Manyanya Dar es Salaam.2Wadau walioudhuria katika hafla hiyo wakifuatilia uzinduzi huo.3Timu nzima ya waanzilishi na wamiliki wa Kampuni ya Nivanaa Quality service and catering wakiwa kwenye picha ya pamoja.
BOFYA...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MFUKO WA UCHAGUZI MKOA MAGHARIBI KICHAMA WAFANA SANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(wa pili kushoto) Waziri Kiongozi Mstaafu...

 

10 years ago

Michuzi

uzinduzi wa album John Lisu wafana sana Diamond jubilee hall

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akionyesha album ya  ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji,  John Lisu wakati wa uzinduzi wa album hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, mwishoni wiki. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ambaye ni mdhamini wa uzinduzi huo.Mary Lisu (kushoto), akiimba sambamba na John Lisu wimbo mpya ujulikanao kwa jina la Mfalme ambao Albam yake iko jikoni wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

MNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR

DSC_0354Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins kabla ya zoezi la kuwasha mishuma 70 kwenye cake hiyo ikiwa ni uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Kushoto ni Mshehereshaji wa sherehe hizo Afisa Habari wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Usia Nkhoma...

 

10 years ago

GPL

MNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR‏

Keki maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam. Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna...

 

10 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi wa ‘Samsung Muvika 4G LTE’ wafana jijini Arusha

muvika-4g-lte-10-swa

muvika-4g-lte-1-swah

muvika-4g-lte-2-swa

muvika-4g-lte-7-swa

 

muvika-4g-lte-8-swa

muvika-4g-lte-9-swa

Nguli wa vifaa vya umeme Samsung imeendelea na juhudi za kuimarika katika nafasi ya kwanza kwa uzinduzi wa simu zake mpya na za kushangaza za 4G LTE zilizopewa jina la ‘Muvika’. Uzinduzi huu wa mara ya kwanza na wa aina yake nchini kwa upande wa simu za mkononi zenye teknolojia ya aina hii ulifanyika Hoteli ya Bay Leaf Arusha. Pamoja na utambulisho huo tukio lilikuwa kama jukwaa la usimamizi wa wazalishaji simu kukutana na wafanyabiashara wa hapa nyumbani, mawakala na wadau wengine...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA MSANII KUFANYIKA OKTOBA 25 MLIMANI CITY JIJINI DAR

Ofisa Uhusiano wa Siku Ya Msanii, Peter Mwendapole akizungumza katika mkutanoa na waandishi wa habari kuhusu wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Siku Ya Msanii Jumamosi Ijayo Oktoba 25,2014 katika ukumbi wa Mlimani city jijini Dar. wengine Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Madensa Tanzania, Super Nyamwela, Ahmed Ahmed wa Ako Mpiluka Band, Isha Ramadhan 'Mashauzi' kutoka Mashauzi Classic, Mkurugenzi wa Haak Neel Production, Godfrey Katula na Mwanamuziki John Kitime wa...

 

9 years ago

GPL

UZINDUZI WA CHEZA KWA MADOIDO WAFANA DAR LIVE!

Yamoto Band wakizindua rasmi video yao mpya inayofahamika kwa jina la Cheza kwa Madoido katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala, Zakhem jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Msanii wa Bongo Fleva, Hellen George 'Ruby' akifanya yake stejini.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani