uzinduzi wa album John Lisu wafana sana Diamond jubilee hall

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akionyesha album ya ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji, John Lisu wakati wa uzinduzi wa album hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, mwishoni wiki. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ambaye ni mdhamini wa uzinduzi huo.
Mary Lisu (kushoto), akiimba sambamba na John Lisu wimbo mpya ujulikanao kwa jina la Mfalme ambao Albam yake iko jikoni wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Askofu Kameta abariki uzinduzi wa John Lisu
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Kanda ya Mashariki, Lawrance Kameta amebariki uzinduzi wa mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu wa albamu ya ‘Uko Hapa’...
11 years ago
MichuziUZINDUZI SIKU YA MSANII WAFANA SANA JIJINI DAR
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika Jumamosi usiku katika Hoteli ya Sea Cliff, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukanagara, alisema Siku ya...
10 years ago
Michuzi16 Mar
UZINDUZI WA KAMPUNI MPYA YA QUALITY SERVICE AND CATERING WAFANA SANA



BOFYA...
10 years ago
Michuzi
UZINDUZI WA MFUKO WA UCHAGUZI MKOA MAGHARIBI KICHAMA WAFANA SANA


11 years ago
Michuzi.png)
COSTECH PARTICIPATES IN THE 9TH EXHIBITIONS ON HIGHER EDUCATION SCIENCE, TECHNOLOGY AND INNOVATION AT DIAMOND JUBILEE HALL DAR ES SALAAM
Minister Mbarawa...
10 years ago
Michuzi
JK AFANIKISHA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, 1.6bn/- zapatikana usiku huu diamond jubilee hall dar es salaam

10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA ALBAMU TATU ZA MWAITEGE NI KESHO UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE, WAIMBAJI WATAKAO MSINDIKIZA WATAMBULISHWA
10 years ago
TheCitizen23 Dec
JK's VERDICT: Mood swings in Jubilee hall crowd