Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Kameta abariki uzinduzi wa John Lisu

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Kanda ya Mashariki, Lawrance Kameta amebariki uzinduzi wa mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu wa albamu ya ‘Uko Hapa’...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

uzinduzi wa album John Lisu wafana sana Diamond jubilee hall

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akionyesha album ya  ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji,  John Lisu wakati wa uzinduzi wa album hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, mwishoni wiki. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ambaye ni mdhamini wa uzinduzi huo.Mary Lisu (kushoto), akiimba sambamba na John Lisu wimbo mpya ujulikanao kwa jina la Mfalme ambao Albam yake iko jikoni wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

Rose Muhando, John Lisu wawashukuru Watanzania

John Lisu . WAKATI zoezi la upigaji kura wa kuchagua maeneo matatu ya kufanikisha Tamasha la Pasaka linalotarajia kufanyika kuanzia Aprili 20 mwaka huu, waimbaji mahiri wa muziki wa injili hapa Tanzania, Rose Mhando na John Lisu wameonesha shukrani kwa wapiga kura kwa kuwapigia kura nyingi kuelekea tamasha hilo.
Waimbaji hao wanaoonesha kukubalika na wadau mbalimbali kushiriki katika tamasha hilo kutokana na sababu mbalimbali za uwasilishaji wao wa Neno la Mungu kwa wadau wa tamasha hilo,...

 

11 years ago

Michuzi

Hafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana

Mamia ya wakotiliki wamejitokeza kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga ambaye anahamia Mpanda kwa ajili ya kuendelea na kazi Dini.Sherehe hiyo iliyotanguliwa na Ibada ilifanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mkoani Dodoma.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...

 

11 years ago

GPL

HAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA ‏

Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo (kulia) akipeana mkono na Askofu Gervas John Nyaisonga. Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akibusu Pete ya Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo.…

 

10 years ago

Michuzi

Glorious kamili uzinduzi wa John Lissu

KUNDi la muziki wa Injili la Glorious Celebration la jijini Dar es Salaam limethibitisha kushiriki katika uzinduzi wa albamu ya Uko Hapa ya msanii John Lissu.
Uzinduzi wa albamu hiyo unatarajiwa kufanyika Oktoba 5 mwaka huu, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, ambapo waimbaji mbalimbali watakuwepo.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions inayodhamini uzinduzi huo, Alex Msama ilisema maandalizi muhimu kuhusiana na uzinduzi huo...

 

9 years ago

Michuzi

ASKOFU CHARLES GADI AONGOZA UMOJA WA MAKANISA YA DODOMA KUMUOMBEA RAIS DK.JOHN MAGUFULI NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

 Viongozi wa Makanisa mbalimbali ya mkoani Dodoma wakiwa wameshika picha za Rais Dk.John Magufuli, Waziri Mkuu, Majaliwa Kasimu Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu wakati wa kufanya maombi ya kuwaombea yaliyofanyika mjini Dodoma juzi. Maombi hayo yaliongozwa na Askofu wa Kanisa la Good News for All Ministry International la jijini Dar es Salaam. Viongozi hao na waumini wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maombi hayo.Picha ya pamoja ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...

 

10 years ago

Bongo5

Mr Nice arudi kufanya kazi na producer wake aliyemtoa, Kameta

Baada ya kunusurika kifo mwezi April mwaka huu, Lucas Mkenda aka Mr Nice ameibuka na kuzungumzia mipango yake mipya ya kazi yake ya muziki ambayo ilisimama baada ya kupata ajali mbaya ya bajaj iliyomsababisha kukaa muda mrefu akisubiri kupona. Nice ambaye ni mwimbaji na mwanzilishi wa staili ya Takeu, amesema amefanya kazi mpya na producer […]

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKHFU ASKOFU MTEULE WA KANISA LA AFRICAN INLAND DAYOSISI YA MWANZA, MCHUNGAJI JOHN BUNANGO, JIJINI MWANZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana nabaadhi ya viongozi wa dini ya Kikristu, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo, Oktoba 19, 2014, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuwekwa Wakhfu Askofu Mteule wa Kanisa la African Inland Dayosisi ya Mwanza, Mchungaji John Bunango, iliyofanyika jijini humo leo mchana. Maaskofu wakimwekea mikono ya Baraka Askofu mwenzao, Askofu Mteule wa Kanisa la African Inland Dayosisi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Msikilize Tundu Lisu juu ya Slaa

http://www.voaswahili.com/audio/2941250.html

The post Msikilize Tundu Lisu juu ya Slaa appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani