Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rose Muhando, John Lisu wawashukuru Watanzania

John Lisu . WAKATI zoezi la upigaji kura wa kuchagua maeneo matatu ya kufanikisha Tamasha la Pasaka linalotarajia kufanyika kuanzia Aprili 20 mwaka huu, waimbaji mahiri wa muziki wa injili hapa Tanzania, Rose Mhando na John Lisu wameonesha shukrani kwa wapiga kura kwa kuwapigia kura nyingi kuelekea tamasha hilo.
Waimbaji hao wanaoonesha kukubalika na wadau mbalimbali kushiriki katika tamasha hilo kutokana na sababu mbalimbali za uwasilishaji wao wa Neno la Mungu kwa wadau wa tamasha hilo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Askofu Kameta abariki uzinduzi wa John Lisu

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Kanda ya Mashariki, Lawrance Kameta amebariki uzinduzi wa mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu wa albamu ya ‘Uko Hapa’...

 

10 years ago

Michuzi

uzinduzi wa album John Lisu wafana sana Diamond jubilee hall

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akionyesha album ya  ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji,  John Lisu wakati wa uzinduzi wa album hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, mwishoni wiki. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ambaye ni mdhamini wa uzinduzi huo.Mary Lisu (kushoto), akiimba sambamba na John Lisu wimbo mpya ujulikanao kwa jina la Mfalme ambao Albam yake iko jikoni wakati wa...

 

9 years ago

Habarileo

Rose Muhando matatani

MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MGONJWA

Stori: Gladness Mallya
TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa. Staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando. Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum katikati ya wiki hii, Rose ambaye ameripotiwa kwa misala tofauti ya kuchikichia fedha za shoo hivi karibuni, amefunguka kuwa afya yake si nzuri kwani anasumbuliwa na mshipa...

 

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MBARONI!

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kuingia mitini na shilingi milioni 6 alizolipwa kwa ajili ya kwenda kufanya shoo ya kiroho, Mombasa, Kenya Novemba 3, 2013 lakini hakutokea. Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Rose alidakwa jijini Dar es Salaam saa sita mchana huku...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AWEWESEKA

Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando. MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando ambaye hivi karibuni alikanwa na aliyewahi kuwa meneja wake wa muda mrefu, Alex Msama, anadaiwa kuweweseka asijue la kufanya kufuatia hatua hiyo. Akizungumza kutoka Dodoma yalipo makazi ya mwimbaji huyo, mmoja wa watu wake wa karibu aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema hatua ya Msama kutangaza kutofanya naye kazi,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sekeleti kumbeba Rose Muhando

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa injili, Ephraim Sekeleti, atatumbuiza katika uzinduzi wa albamu ya ‘Kamata Pindo la Yesu’ ya Rose Muhando utakaofanyika Agosti 3, Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AFIKISHWA POLISI

Stori: Mayasa Mariwata na  Makongoro Oging’
MWANAMUZIKI wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kijitonyama ‘Mabatini’ jijini Dar baada ya mchungaji mmoja wa Kinigeria anayefanya shughuli zake nchini DR Congo,  Kabagambe Tchanda kumshitaki akidai kumlipa fedha ili akafanye onesho badala yake akaingia mitini. Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rose Muhando aibuka na ‘Facebook’

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, ameibuka na wimbo mpya uitwao ‘Facebook’. Akizungumza na gazeti hili, Muhando alisema ana imani wimbo huo utakuwa kivutio kikubwa kwa jamii,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani