JK AFANIKISHA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, 1.6bn/- zapatikana usiku huu diamond jubilee hall dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dr Alex Gehaz Malasusa, Mwenyekiti wa Harambee hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu na wachangiaji wakubwa katika harambee hiyo iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam ambapo jumla ya shilingi bilioni 1.6 kati ya shilingi bilioni 2...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboChakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE ASHIRIKI ZOEZI LA KUCHANGIA FEDHA ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI TAWI LA DAR
11 years ago
MichuziCOSTECH PARTICIPATES IN THE 9TH EXHIBITIONS ON HIGHER EDUCATION SCIENCE, TECHNOLOGY AND INNOVATION AT DIAMOND JUBILEE HALL DAR ES SALAAM
Minister Mbarawa...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Balozi Seif Idd ashiriki harambee chuo cha CBE, afanikisha kukusanya shilingi milioni 540.8
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akikabidhi mchango wake wa shilingi milioni 3 kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Mathew Luhanga (katikati) kusaidia uboreshaji wa miundombinu ya chuo hicho jana usiku wakati wa harambee maalum ya ukusanyaji wa fedha iliyofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salam.Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Prof. Emanuel Mjema.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd akisoma majumuisho...
10 years ago
MichuziZaidi ya sh. Milioni 100 zapatikana katika harambee ya kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund jijini dar
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA BODI YA MADINI TANZANIA ASHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA CHUO KIKUU
10 years ago
GPLHUDUMA YA HOSANA LIFE MISSION CHAFANYA HARAMBEE YA UJENZI WA CHUO CHA BIBLIA DAR
11 years ago
MichuziMILIONI 319 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KATOLIKI LA MAKONGO JUU JIJINI DAR
5 years ago
MichuziBARAZA LA CHUO KIKUU MZUMBE LAKAGUA UKARABATI, UJENZI KAMPASI YA DAR ES SALAAM-TEGETA
Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Makamu Mkuuwa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, amesema ukarabati huo na ujenziumekamilika kwa asilimia 98, na kwamba majengo hayo yako tayari kutumika pindiidhini ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania itakapotolewa.
Baraza...