Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUDUMA YA HOSANA LIFE MISSION CHAFANYA HARAMBEE YA UJENZI WA CHUO CHA BIBLIA DAR

  Baadhi ya waumini wa kituo cha Hosana wakiwa kanisani. Mch. na mwimbaji wa nyimbo za injili Ephraim Mwansasu ambaye pia ni wanzilishiwa huduma hiyo akitoa historia fupi ya kituo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK AFANIKISHA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, 1.6bn/- zapatikana usiku huu diamond jubilee hall dar es salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dr Alex Gehaz Malasusa, Mwenyekiti wa Harambee hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu na wachangiaji wakubwa katika harambee hiyo iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam ambapo jumla ya shilingi bilioni 1.6 kati ya shilingi bilioni 2...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BODI YA MADINI TANZANIA ASHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI WA CHUO KIKUU

Mchungaji Mwansasu na mgeni rasmi Kasesela wakijadiliana jambo Mchungaji Mwansasu akimuongoza mgeni rasmi Kasesela kuingia kanisani.…

 

10 years ago

GPL

CHUO CHA TIBA IMTU CHAFANYA MAHAFALI YA SABA LEO

Wahitimu mbalimbali wakipewa vyeti.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) chafanya mahafali ya kwanza

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi  (MoCU) Pius Msekwa akitunuku Shahada ,Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa Chuo hicho wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo hicho. Wahitimu wa kozi mbalimbali waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Ushirika mjini Moshi,(MoCU) Miongoni mwa wageni waalikwa alikuwepo pia Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael. Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika (MoCU) Profesa Faustine Bee akizungumza wakati wa sherehe za mahafali ya kwanza ya Chuo hicho...

 

11 years ago

Michuzi

CHUO CHA MAENDELEO YA UTALII ZANZIBAR CHAFANYA SHEREHE ZA MAHAFALI YA TANO

Mkurugenzi wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Bi. Zulekha Khamis Omar akitoa maelezo juu maendeleo ya Chuo katika Mahafali ya tano Chuoni hapo. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Khamis Mussa Omar akieleza machache kuhusu muelekeo wa Chuo hicho na kumkaribisha Mgeni rasmin kutunuku vyeti kwa wahitimu. Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizunguza na wahitimu mbalimbali (hawapo pichani) mara baada ya kuwatunuku vyeti na...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA MAENDELEO YA UTALII ZANZIBAR CHAFANYA MAHAFALI YAKE YA SITA

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Sita ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya akitoa hotuba kwa wahitimu hawapo pichani ambapo mewataka wajiajiri wenyewe badala ya kutegemea Serikali.Baadhi ya Wahitimu wa Fani ya Upishi wakiwa wanamsikiliza Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya hayupo pichani wakati wa sherehe ya Mahafali ya Sita ya Chuoni hapo.Mwanafunzi Bora Chuoni...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA SUMAIT ZANZIBAR CHAFANYA MAHAFALI YAKE YA KUMI NA NNE

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna akiongoza wahadhiri na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sumait Chukwani kuingia katika kiwanja cha Mhafali. Wa kwanza (kulia) kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof. Hamad Rashid Hikmany (kushoto) Mwenyekiti wa Baraza la chuo Dkt. Abdulrahman Al Muhailan. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.Baadhi ya wahitimu wa chuo Kikuu cha Sumait wakiwa kwenye maandamano kuingia uwanja wa mahafali.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Dewji Blog

Chuo cha taaluma za Sayansi za afya za Zanzibar chafanya mahafali ya 22 nakutunuku stashahada kwa wahitimu 440!!

01 (1)

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar Dkt. AbdallahIsmail Kanduru akimkaribisha mgeni rasmi wa Mahafali ya 22 Balozi Seif Ali Iddi katika sherehe zilizofanyika Chuoni Mbweni.

02 (1)

Baadhi ya wahitimu waliomaliza masomo katika Chuo cha Taaluma za Afya Zanzibar wakiwa kwenye maandamano wakiingi katika kiwanja sherehe hizo. Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar.

03 (1)

 Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Zanzibar Dkt. Haji Mwita Haji akimkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ASHIRIKI ZOEZI LA KUCHANGIA FEDHA ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI TAWI LA DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani