Mnuso wa Birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa wafana jijini Dar #UN70
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipokea wageni nyumbani kwake kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa jijini Dar.
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (katikati) akimtambulisha mmoja wa wageni waalikwa kwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Awa Dabo (kushoto).
Mwakilishi Mkazi wa Shirika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi27 Apr
MNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR
![DSC_0354](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/DSC_0354.jpg)
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/DSC_0351.jpg)
MNUSO WA UZINDUZI WA SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog15 Oct
Waliong’ara Red carpet mnuso wa Birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa Tanzania
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya Frontline Porter Novelli, Hellen Kiwia (kulia) nao walikuwa ni miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria mnuso wa Birthday ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya Frontline Porter Novelli, Hellen Kiwia.
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mh. Filiberto Sebregondi (kulia) katika red carpet na baadhi ya wageni waalikwa wengine.
Nancy Kaizilege wa UNESCO.
Third...
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
Mnuso wa uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa wafana ndani ya hoteli ya White Sands
Cake maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins kabla ya zoezi la kuwasha mishuma 70 kwenye cake hiyo...
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
UN Family Day ya kusheherekea miaka 69 ya Umoja wa Mataifa yafana jijini Dar
Pichani juu na chini ni baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na watoto wa wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa walipojumuika pamoja mwishoni mwa juma kushiriki michezo mbalimbali kwenye UN Family Day kusheherekea maadhimisho ya miaka 69 ya Umoja wa Mataifa tangu kuanishwa kwake.
Watoto wakifurahia kupakwa rangi usoni katika bonanza la UN Family Day ikiwa ni shamra shamra ya maadhimisho ya kusheherekea miaka 69 ya Umoja wa Mataifa...
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kufanyika Oktoba viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Bw. Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya sherehe za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa pamoja na kutolea ufafanuzi malengo 17 ya maendeleo endelevu (SDGs) yenye lengo la kufuta kabisa umaskini.(Picha zote ne Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Hassan Simba Yahya akizungumza na waandishi wa...
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Mnuso wa Kimlola A. Kimlola “Nelly na Scholastica L. Lazaro wafana jijini Dar
![DSC_0038](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/10/DSC_0038.jpg)
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
Waliong’ara kwenye red carpet uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa jijini Dar
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP)) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) katika picha ya kumbukumbu na Afisa Habari wa Shirika la UNFPA nchini, Sawiche Wamunza.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP)) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) katika picha ya kumbukumbu na Yona Samo wa UNDP Tanzania.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO5FQDQPsnv-vs-VLmuKQAnDq-fogaYOTTYCMgFeP9YQBkvcSfR0i6RdFYeNtXJha8Gd-fXc3fMxlFKX1rMNYZ9x/JK2.jpg)
RAIS KIKWETE AAGANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA IKULU JIJINI DAR